Kwa wale ambao wamekuwa wakiulizia na kutamani kusikia hotuba za Hayati, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, baadhi ya hutuba hizo nimezifufua linki zake na zinasikika vyema, na video moja inaonekana vyema.
Atakayekwama anifahamishe nitajitahidi
kurekebisha kadiri niwezavyo.
BOFYA HAPA
*Hotuba aliyoitoa Kilimanjaro Hotel
(sasa Kempinski) - audio parts 1 - 3.
*Hotuba aliyoitoa Dodoma - video
*Hotuba kadhaa na Wasifu wa Mwalimu
ulioandikwa na Fr. Wille - text
Karibuni!
Subi, nukta77!
itabidi wahusika wa http://www.nyererefoundation.org/ wakutafute na wakupe cha pembeni. kwani umewazidi kazi. hamna audio or video of speech za mwalimu.
ReplyDeleteAsante sana Da Subi,
ReplyDeleteMAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
San Diego, CA
wapi wampe cha pembeni?? thubutu wakati ka violate haki miliki!!!
ReplyDelete