mbunge wa mbinga ambaye pia ni mmoja wa wahamasishaji wakuu wa CCM akiimbisha wimbo wakati wa kilele cha Mbio za Mwenge na pia maadhimisho ya miaka 10 ya Kifo cha Mwalimu Butiama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. JAMANI NEWYORK TUMELALA USINGIZI MZITO. HATA KUMUENZI BABA WA TAIFA? SIJUI TUMEWEKEWA NUSU KAPUTI TUNANGOJA OPERATION. !!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Namkumbuka Captain Komba wakati bado ni sajenti na mwembamba!

    ReplyDelete
  3. dalili za presha huanza taratiibu!!!

    ReplyDelete
  4. Kinyaunyau, BostonOctober 15, 2009

    Huyu nae ni mmoja wa mafisadi ambaye mafisadi wenzake ndani ya chama na serikali wanamlinda ili nao wasiumbuke.
    Mungu ibariki Tanzania.
    Mungu wajaalie mafisadi wawe na huruma na wanyonge.

    ReplyDelete
  5. HIZO PESA ZINGETUMIKA KUJENGA MTAMBO WA MAJI WA KUZALISHA UMEME.

    ReplyDelete
  6. Kumbe huyu ndiye yule Komba alikua anaimba kweli wakati ule...Alikua na wimbo anasema oleole.....

    Mweeee kanenepa huyo...Tukiwa chipukizi nilimuonaga alikua mwembamba mrefu

    ReplyDelete
  7. mheshimiwa sana komba jamani tumbo tumbo hilo,mazoezi na michicha na ukate nyama na wali na ile mikate unaweza kupungua!

    ReplyDelete
  8. SASA WAKATI UMEFIKA KWA VYAMA VYA SIASA KUWAHAMASISHA WAFUSI WAO KUSUSIA MBIO ZA MWENGE NA KUMBUKUMBU ZA KIFO CHA MWALIMU KUTOKANA NA CCM KIZIFANYA KUWA NI ZA CHAMA CHAO. TUMESHUHUDIA HUKO IRINGA AMBAKO WANACCM WALIDAI KUWA MSIBA HUO NI WA WANACCM NA SI VINGIVYO HIVYO WALIAMUA KUWAFUKUZA WAFUASI WA VYAMA VINGINE NA SASA TUNAONA BUTIAMA WAKISHEREHEKEA KICHAMA NA SI KITAIFA. CCM IANALETA MGAWANYIKO KATIKA TAIFA ISIJE IKAWA YA KWANZA KULALAMIKA,

    ReplyDelete
  9. Hiyo mimba bado hajajifungua tu, maana ni zaidi ya miezi tisa!!!!

    ReplyDelete
  10. CCM NI KIZIZI CHA MAFISADI? KOMBA KWANI ULIKATAZWA USIFANYE MAZOEZI? AMA UNAOGOPA PESA ZA KIFISADI ZITAISHA. CCM kwa USISADI HAMJAMBO!!! CCM kilibakia ni CHAMA CHA MAPINDUZI CHA MAFISADI NA KAFISADI. Ukienda kwa Daktari akakutuma fisadi haraka haraka nenda mahali popote kwenye ofisi ya CCM, usijeulize mara mia utapata wapi. Kula niliyompigia MKAPA wakati wa hamu yake ya kwanza sijawahi kupiga kura tena, na sitokaa nimpigie mtu kura. CCM JUU, CCM JUU, JEURI YA MAFISADI.

    Mdau Songea-Ruvuma

    ReplyDelete
  11. IN LIFE ANYTHING IS POSSIBLE, FROM PRIMARY SCHOOL TEACHING PROFESSION TO WHERE HE IS NOW WITH THAT BIG BELLY, CAN YOU IMAGINE! GOD IS MASSIVE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...