Kampuni maarufu ya Shear Illusions ambao ni wamiliki wa Maduka ya Nywele na Vipodozi yaliyopo hapa Dar na A-taun wameanzisha libeneke la jariba bomba kabisa la urembo la Shear Hair and Beauty Magazine ambalo litakuwa mitaani nchi nzima kuanzia wikiendi hii. wadau wa urembo na vipodozi kazi kwenu, habari ndio hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mwanza mtaweka duka lipi/mtaa??

    ReplyDelete
  2. HIYO SHEER IKO WAPI ARUSHA MAANA NAKUMBUKA ILIKUWA SHOPRITE COMPLEX IKAFUNGWA SS TUAMBIENI IKO WAPI MAANA TUNAPATA SHIDA YA NYWELE SANA PLZ PLZ PLZ PLZ

    ReplyDelete
  3. Shear Illusions duka lake jipya liko Njiro Complex (Cinemas) ndani ya jiji la A-Town.

    ReplyDelete
  4. Mwanza Gazeti Ltakuwepo mtaani soon! angalia kwa wauza Magazeti wako mtaani na Supermarket's! Dar es salaam limesha hit the street tayari! kwa supermarket zote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...