Home
Unlabelled
JK akiwa Musoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Solution ya walemavu si kwenda kwa rais kuomba msaada. Tanzania ina walemavu wangapi? Ni walemavu wangapi ambao watapata nafasi ya kuonana na rais even hata kiongizi mwingine wa serikali?
ReplyDeleteSolution taifa linatakiwa liwe na sera madhubuti ya kuwahudumia walemavu. Labda sera hii ipo maana walemavu wapo tangu siku nyingi na wataendelea kuwepo katika jamii.
Taifa linatakiwa liwe na sera nzuri na pia sera hiyo itekelezwe kwa vitendo.
Kikwete sijui kama amewauliza viongizi wa karibu na huyu kijana kama wanamtambua huyu kijana na kama walikwishafanya juhudi yoyote ya kumsaidia huyu kijana.
we anony Fri Oct 16, 05:10:00 PM hivi hujuwi kama kampeni za 2010 zimeanza? sasa rais asipomlipia huyo mlemavu na kumfunga mtoto kamba za viatu, unategemea kura zitatoka wapi?
ReplyDeletehuyo kijana hamfahamu rais wa awamu ya pili,alhaj Alli Hassan Mwinyi au anabagua katika hiyo sanaa yake?? pengine muheshimiwa Mwinyi ndo angempa msaada mkubwa ila kwa vile kambagua,itakula kwake...
ReplyDelete