Hi Michuzi,
Nauza Macbook yangu. Specs zake ni 2.16Ghz Intel Core 2 Duo, 2GB RAM(expandable to 3GB), 160GB HDD. Mac OS X Snow Leopard.More info hoosierjcr.blogspot.com
Phone/SMS: 0754 710 446
Asante mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. JAMAA KAANZISHA BLOG KUUZA MAC BOOK MOJA TU.........SIYO MCHEZO, KWELI BONGO TAMBARARE

    ReplyDelete
  2. Haya Bwana Jos Rub

    ReplyDelete
  3. Ukiingia kwenye blog yake jamaa bado haweka bei ya hiyo macbook inabidi tena kumpigia simu. Kweli wabongo kazi

    ReplyDelete
  4. more description pliz,maelezo zaidi juu ya hiyo machine...e.g SUPER FAST Intel Pentium M 1.60 Ghz Processor!!
    1024 MB (1 GB!) FAST DDR ram!!
    BIG 80 GB Hard Drive!!
    DVD/CDRW player/rom/burner Drive!!
    Built In Integrated WiFi 802.11G Wireless INCLUDED!!
    Built In Integrated BLUETOOTH Wireless INCLUDED!!
    NEW USB 4 Port Star Hub INCLUDED!!
    NEW USB powered LED FLYLIGHT INCLUDED!!
    NEW USB 2.0 SD/SDHC/MMC Memory Card Reader INCLUDED!!
    NEW Softside Laptop Bag (color may vary) INCLUDED!!
    NEW LED Optical Scroll Mouse INCLUDED!!
    56K & Ethernet 10/100 (cable, DSL ready) ONBOARD!!
    Big Bright 14.1 inch LCD
    ..pliz be advice nataka kukusaidia kuiuza hyo machine yko..MAC-BOOK is best machine in the industry/business

    ReplyDelete
  5. hakawii kukwambia million mbili...tsh 2mil...nyumani kazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  6. Blog wala sio deal, unaweza kuanzisha na kuzifuta kama kama kawa tu! huo ndio utambarare wenyewe!

    ReplyDelete
  7. Hii Namba ni ya mfanyakazi wa voda vp mjomba umefulia nini? Mbona Mapema we utaki kutumia mac? au unazo nyingi unafanya biashara?

    ReplyDelete
  8. Wangu Laptop kubwa namna hiyo kama BRIFKES! Khaah!

    Mambo siku hizi ni vi MINI LAPTOP tu ukubwa wa DAYARI tu.
    Twewndeni na wakati!

    ReplyDelete
  9. You have installed Snow Leopard within two year or u have updated to Snow Leopard? Coz what i know is, Snow Leopard launched on Friday, August 28 this year.

    Lakini sasa hv ni rahisi, mimi natumia Snow Leopard kwenye Dell Laptop yangu na kila kitu kinafanya kazi vizuri tu. Anayetaka kuwekewa anitwangie +255 714 507 507

    Kwa uhakika zaidi jinsi inavyofanya kazi tazama http://kimox.blogspot.com

    ReplyDelete
  10. yaani imefanana kweli na dell m1330 na specification zake zote ni sawa tu....

    Namsaidia kuname the price used $450 - $650

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...