Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya ngozi ya Pundamilia, Balozi wa Algeria nchini, Mhe. Abdelmoun'aam Ahriz ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar leo kuaga baada ya kumaliza muda wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Jamani amakweli tanzania duu we acha tu....
    yani kama waziri anatoa zawadi ya ngozi ya punda kweli wanyama wetu watapona kweli...watu wa haki za wanyama mpo wapi??????

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa waziri Mkuu! chonde baba,hiyo ndio iwe ya mwanzo na ya mwisho,mzee vyingivyo utaona wanya hao wanapungua kidogo kidogo,pale huyo Ustaadhi Ali Maangushi atakapowatangazia wenzie kuwa bongo ngozi zinapatika na kwa mafungu

    ReplyDelete
  3. haki za wanyama tz ni ndoto, sijui kwa mfano huu mwananchi wa kawaida utamwambia nini akuelewe zaidi ya kusema mbona fulani ali...

    ReplyDelete
  4. jameni tuwape vinyango au vikapu ua vitenge. huyo balozi angepewa kinyago badala ya ngozi nzima ya muliapunda. huwo siyo mfano mwema hata kidogo.

    ReplyDelete
  5. Waziri mkuu Pinda amekosea kumpa balozi ngozi ya pundamilia. Nadhani hakutafakari kitendo hiki kinaifundisha nini jamii? Tunaomba balozi wa Algeria arudishe ngozi hiyo kwani kama akiichukua hatakuwa hatendie haki pundamilia.

    Hii ina maana balozi hatakuwa amehusika kwa njia moja ama nyingine katika kuua pundamilia wa Tanzania.

    Dunia sasa watu wanaacha kununua vitu vilivyotengenezwa na malighafi za wanyama pori kama walivyo pundamilia.

    Pinda umekosea sana hapa.

    ReplyDelete
  6. tutabanana tu tupate izo ngozi kwa vipochi viatu mikanda mapambo nk

    apa bado ao ustaadhi wakitoka ukooo

    asante waziri MKUU kutuonyesha njia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...