Home
Unlabelled
pinda aagana na balozi wa algeria leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani amakweli tanzania duu we acha tu....
ReplyDeleteyani kama waziri anatoa zawadi ya ngozi ya punda kweli wanyama wetu watapona kweli...watu wa haki za wanyama mpo wapi??????
Mheshimiwa waziri Mkuu! chonde baba,hiyo ndio iwe ya mwanzo na ya mwisho,mzee vyingivyo utaona wanya hao wanapungua kidogo kidogo,pale huyo Ustaadhi Ali Maangushi atakapowatangazia wenzie kuwa bongo ngozi zinapatika na kwa mafungu
ReplyDeletehaki za wanyama tz ni ndoto, sijui kwa mfano huu mwananchi wa kawaida utamwambia nini akuelewe zaidi ya kusema mbona fulani ali...
ReplyDeletejameni tuwape vinyango au vikapu ua vitenge. huyo balozi angepewa kinyago badala ya ngozi nzima ya muliapunda. huwo siyo mfano mwema hata kidogo.
ReplyDeleteWaziri mkuu Pinda amekosea kumpa balozi ngozi ya pundamilia. Nadhani hakutafakari kitendo hiki kinaifundisha nini jamii? Tunaomba balozi wa Algeria arudishe ngozi hiyo kwani kama akiichukua hatakuwa hatendie haki pundamilia.
ReplyDeleteHii ina maana balozi hatakuwa amehusika kwa njia moja ama nyingine katika kuua pundamilia wa Tanzania.
Dunia sasa watu wanaacha kununua vitu vilivyotengenezwa na malighafi za wanyama pori kama walivyo pundamilia.
Pinda umekosea sana hapa.
tutabanana tu tupate izo ngozi kwa vipochi viatu mikanda mapambo nk
ReplyDeleteapa bado ao ustaadhi wakitoka ukooo
asante waziri MKUU kutuonyesha njia