Wanafunzi wa Shule ya Msingi Azimio iliyoko wilayani Temeke jijini Dar es salaam, wakiimba wimbo ulioambatana na kitendo cha kunawa mikono kwa maji safi na sabuni wakati wa Maadhimisho ya ya Siku ya Unawaji Mikono Duniani. Sherehe hizo zimefanyika leo katika viwanja vya Yangamanga, Temeke jijini Dar es salaam. Picha na Aron Msigwa- MAELEZO.
Home
Unlabelled
siku ya unawaji mikono duniani leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WITHOUT FORGETING october4BREAST CANCER- WEAT IT **PINK**
ReplyDeleteHizi siku za Dunia eti sijui ya kunawa mikono, sijui ya kufanya nini, zinafaida gani au ni sehemu tu ulaji? Na kwa nchi maskini kama Tanzania ndiyo usiseme, twazipokea tu hizo siku mradi tu ni za Dunia bila hata kutafakari umuhimu wake!!! Imekaaje hiyo wadau?
ReplyDeleteNi-Matumaini yangu kwamba huyu Msichana wa Kushoto hatasoma maoni yangu. Ila naomba wadau wanao-wafahamu wazazi wake, watoe ushauri kwa wazazi wa huyu binti apangiliwe muda wa kula chakula kichache-kichache mara tano kwa siku. Anaonekana ni Binti wa miaka kati ya 12-14 na inabidi aanze mapema. Wasipofanya hinyo,afya yake itakuwa hatarini.
ReplyDeleteAhsanteni
maadhimisho ya unawaji mikono duniani? ni kweli dunia nzima inaadhimisho hiyo kitu? au basi tu watu waliamua tu kuita ni kitu cha dunia nzima, l'm just curious mimi hapa ninapoishi sijasikia na wala nilikuwa sijui kama leo ni siku ya hiyo kitu, anyway life goes on na bongo yetu.
ReplyDeleteHata mimi nasmuunga huyo mkono wazazi waambiwe jinsi ya lishe bora.
ReplyDeleteHuyo mtoto hana hata miaka 11. Zamani ilikua ukiwa tajiri basi lazima unenepe..sasa hvivi na mitandao yote hii bado tu tunamawazo yale? Huyu mtoto anahitaji mazoezi.
Jamani hako kasichana kushoto inabidi kapunguze lishe maana kanaelekea sio kuzuri!
ReplyDeleteMSIGWA, TEMEKE HAKUNA VIWANJA VYA YANGAMANGA, NIJUAVYO KUNA VIWANJA VYA MWEMBEYANGA, KAMA SHEREHE HIZO ZILIFANYIKA MWEMBEYANGA NI VIZURI UNGEWAULIZA WALIOZITAYARISHA ILI WAKUPE JINA SAHIHI. HATA HIVYO HII INATOKANA NA KUDANDIA KAZI.
ReplyDelete