Mkurugenzi wa Clouds Mediaa Group/Prime Time Promotionsa Bw.Joseph Kusaga akimsikiliza mstahiki meya wa Musoma Bw. Swahibu Mohamed Iddi alipozindua tamasha la fiesta 2009 usiku wa kuamkia leo katika ufukwe kwa hoteli ya Penninsula ambapo pia kulifanyika utambulisho wa masafa mapya za redio ya Clouds Fm mkoa wa Mara 98.6fm
Msanii wa Les Familia Chid Benz akikamua kwenye tamasha la fiesta usiku wa kuamkia leo
M-Mr blue akiimba mbele ya wakazi wa musoma mkoani Mara usiku wa kuamkia leo katika tamasha la fiesta one love lililofanyika katika ufukwe wa hoteli ya penninsula



Huyo dogo Mr. Blue akirudi shule mimi nitamualika aje ku-perform hapa george washington university, kuna dau la $10,000
ReplyDeleteWAIMBAJI WA KITANZANIA WAMECHOKA SANA SIYO KAMA WA KWETU BURUNDI, KILA MUMOJA KAPAYUKA MUFUPI MUFUPI SIJUI NI CHAKURA BOLA AMA NI MULO WA PUMBA/UGALI KILA SIKU NA SUKUMA WEEK?
ReplyDeleteHawa vijana wamejitahidi kidogo kuvaa surualikaputura vizuri, kunawalewengine ambao wanavaa kwa kushusha sijui wanaita kata k cjui?
ReplyDeleteati haaa mtu anavaa suruali mpaka chupi unaiona maana yake nini? ushamba tu!
mkulima
WEWE DUMISANE FALA TU HATA KISWAHILI HUJUI MSHAMBA SANA KAMA TUMEPAKUKA INAKUWASHA NINI TAFUTA BWANA USITULEETEE ZA KULETA HAPA, SHOGA NINI?
ReplyDeleteClouds FM wanajitahidi sana, wako juu, kuna wakati tour kama hizi za kufika musoma zilikuwa unheard of. Natumaini kushirikiana nao siku za mbele ili tufike kisangani hadi banjul. SabaSeven Entertainment inakuja (sabasevenworld.com inafunguliwa karibuni).
ReplyDelete