timu ya wafanyakazi katika bunge la kenya wakijiandaa kuweka bango lao hoteli ya arusha corridor springs kuashiria wanajiandaa vyema kwa mkutano ujao wa 56 wa CPA wanaotarajiwa kuandaa mwakani
wakiweka sawa mambo kwenye kona yao
maandalizi yanaendelea
mratibu wa mkutano wa 55 wa CPA saidi yakubu (shoto) akiwapa darasa wafanyakazi wa bunge la Kenya la jinsi mambo ya kuandaa mkutano huo yanavyotakiwa kuwa.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Yakub mbona umetoa macho kwa hao watoto wa kijaluo?utawaweza kwa ngumi hao?

    ReplyDelete
  2. afadhali hapa hawajawadanganya wageni kwa kuwaandikia karibu nauone mlima Kilimanjaro. ha, haa haaa, wangekuwa huku nje ya Afrika hakka Mount Kili ingechowa tena kwa ustadi wa hali ya juu kuwavutia wageni huko Kenya.

    ReplyDelete
  3. Said Yakub unashindana na kapteni komba? fanya mazoezi ndugu yangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...