hapa ni hotel club du lac tanganyika, ngoma mtindo mmoja
vijana wanatia raha
ngoma za kirundi orijino...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hivi michu tupe habari panaendeka?make hutwo tu nchi tulikuwa burdani sana kutembelea navutiwa kwani ninashare utamaduni wao.good

    ReplyDelete
  2. Hii ngoma inaitwa Burindi Ngoma na wachezaji wanaitwa Abiyeretsi kwa lugha ya Kirudi.Kwa asili huchezwa na wanaume tu, lakini siku hizi imeboreshwa na kushirikisha wanawake. Inapendwa sana na wenyeji hapa Burundi na pia wageni. Hotel club du lac Tanganyika ni moja kati ya hoteli chache hapa Burundi zenye hadhi ya juu. Iko ufukweni mwa ziwa Tanganyika. Ni maarufu sana kwa "mukeke" kirundi yaani samaki wa ziwa Tanganyika

    ReplyDelete
  3. Michuzi imenifulahisha kuona picha za nchi yangu.Hivi wewe michuzi unaoneka wewe afisa flani wa upelelezi, mimi nimekuona hapa Bujumbula lakini nikawa na mashaka, badae kuja kuona the flanazzz!baaasi nikajua huyu jamaa niyule mwenye blog nzuli sana.Sasa wewe ndo unatangulia kuandaa njia za wakubwa waliotembelea nchi yetu leo?nimekugundua wewe ni kichwa,,kweli TZ ni nchi ya amani.Yani mtanzania kutembelea Burundi tu waandishi kibao kuja kukagua kama vipi panaendeka?Ila ni vizuli.Mithupu kumbe wewe mfupi vile?duh!Bujumbula sasa hivi pametulia vizuli wadau, yani nikama zamani mji wa amata nubuki.mdau wa Buyenzi.

    ReplyDelete
  4. Hahahaha hawa jamaa bado wako nyuma kinoma. Kuna marafiki zangu wa kirundi wanatoka Muyinga. Walikuwa wanakuja Ngara hata kuvuka barabara walikuwa wanashindwa.Michuzi angalia watakupiga panga maana pua lako kama langu-kihutu type.

    ReplyDelete
  5. heee annon 03:40:00 pm

    hhahaaaa ze fulanazzz bendera ya blogu hii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...