hapo anko nanihii kapiga ubugali na sangala gratine. acha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kuna hii blog leo nilikua nasoma soma humu nikakutana nayo...jamani is this for real????? au ni mtu anataka tu kujipatia umaarufu kwa kusema nachotaka....Je ni kweli unga wetu wote wa ngano na sukari zina madudu na vijiwe....angesema mchele unavijiwe kweli ningeelewa lakini unga wa ngano unavidudu???? I am speechless and a little bit angry...

    Check hii link hapa

    Cupcakes

    ReplyDelete
  2. ni kweli kabisa au we sio mpishi ?? sio wakati wote ila ni kweli

    ReplyDelete
  3. annon #1
    wee acha mbona yawezekana tu ikawa kweli,ukifatilia vitu apa bongo HAKUNA kilicho salama kabisaaaa
    ovyo,Mungu tu atulinda jamen

    ReplyDelete
  4. ..sasa anko wa nanihii ulikula-ga Ubugali g'upi, gule gwa mais ama gwa manioc?..

    ReplyDelete
  5. Anon ulietoa link ya cup cakes ni kweli huyo mama kazidisha. Anasema unga una wadudu na inabidi uuchekeche mara 3 na una mawe pia. Na sukari pia ina mawe. Nimeshindwa kumuelewa na sitamuelewa kamwe. Anaishi moshi vijijini ambako ana shamba. Kama haridhiki na hiyo hali si arudi kwao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...