Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. dogo wa uswazi, habari za kazi, mimi ni mdau ambaye niliandika a very harsh comment on ur previous cartoon. baadaye niligundua kuwa it was unfair the way i reacted to u,so i want to apologize for that.u r a very talented young man and i hav always enjoyed ur cartoons, and i want to encourage you to keep doing a good job as always, na utafanikiwa sana ktk fani yako.
    Take it easy dogo and all the best in your works, ok?
    Neema of NY

    ReplyDelete
  2. Kila siku huyo Dogo wa Swazi ana chora katuni za midume kuzini! KHAA!

    ReplyDelete
  3. Hahaahaaaaaaaaaaaa!!!!!!!yeleuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiii yaani nakufa kwa mbavu.Jamaa amemchoka mkewe kabisa.

    ReplyDelete
  4. Dada NEEMA wa NY, wewe ni muungwana sana,, nimejifunza kitu kwa kuona umeomba radhi kwa ku-react visivyo kwenye cartoon ya dogo..
    we need such people in this world. Barikiwa

    Mdau- DSM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...