Home
Unlabelled
kipa mpya wa taifa stars anayecheza msumbiji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Afadhali Maximo na TFF wamesikia kilio na shinikizo la wadau na mashabiki wa soka kwa kuwaondoa makipa wabovu. Ali mustapha kaingia mitini kiana kwa kuwa Maximo anamng'áng'ania wakati mwanyewe anajijua hana uwezo. Tuna mshukuru Juma Pondamali nadhani ni kwa ushauri wake wamempata kipa Mwarami Mohamedi (Shilton). Shabani Kado tunamuaminia, hapo sasa anatakiwa aongezeke Juma Kaseja, timu itakuwa bomba.
ReplyDeleteAfadhali Maximo na TFF wamesikia kilio na shinikizo la wadau na mashabiki wa soka kwa kuwaondoa makipa wabovu. Ali mustapha kaingia mitini kiana kwa kuwa Maximo anamng'áng'ania wakati mwanyewe anajijua hana uwezo. Tuna mshukuru Juma Pondamali nadhani ni kwa ushauri wake wamempata kipa Mwarami Mohamedi (Shilton). Shabani Kado tunamuaminia, hapo sasa anatakiwa aongezeke Juma Kaseja, timu itakuwa bomba.
ReplyDeleteHivi huyu maximo (cijui masikio) atatuchezea hivi hadi lini? kama angekuwa ni kocha wa timu ya taifa ya kwao Brazil angebadilisha badilisha wachezaji hivi kweli? Kila ukiamka asubuhi, basi timu mpya imetajwa...unajua ni aibu ukiulizwa leo hii utaje hata wachezaji watano walioko timu yako ya taifa ukashindwa. Kuna ubaya gani katika ile timu ya taifa iliyotoa draw na senegal? kwa nini asingeiacha hadi leo?
ReplyDeletePia huyu bwana amekuja kufundisha nidhamu au soka hapa bongo? Yaani jamaa akiamka nidhamu...akilala nidhamu....akienda toilet nidhamu. Nadhani kuna haja ya kuupitia tena huu mkataba wake huenda nidhamu ndio cha kwanza then soka nido cha pili. Kama sivyo, basi tumchagulie timu ya taifa then yeye afundishe, hataki basi achape lapa anatuyeyusha!
Haruma moshi hana nidhamu, kapata timu huyo anaenda zake ulaya....inaboa
Mheshimiwa mkuu wa nchi, naomba utucikie kilio chetu, tuondolee huyu bwana umuweke hata Kanumba awe kocha wa timu ya taifa, kama kanumba humtaki, tuwekee hata Jumanne Maghembe basi...
Aaah, ngoja ninyamaze mie, nicije nikatukana nikamkosea kaka michuzi na wala cio maximo!
k'dume
Anaonekana wa ukweli!
ReplyDeletehuyo kipa naona atatufaa kwasababu hata miondoko yake ya kudaka daka.
ReplyDeleteni bora alivyobadilisha kipa manake yule kipa aliyefungwa magoli 5 sijui alimtoa wapi.taifa stars timu nzuri ila kipa na mabeki awafai.maximo anafanya ajuacho .
ReplyDeleteMimi muono wangu ni tofauti kabisa,,,Hivi inakuaje KOCHA wa timu ya TAIFA ya JAMHURI ya MUUNGANO aikochi timu ya UPANDE MMOJA tu(BARA)????,,,kama TFF wangekua na uelewa MPANA,,huyu bwana MAXI angekua anaenda kuangalia timu mbili hizi(BARA na VISIWANI) zinafanya nini,na ikibidi kuzisaidia ushauri tu,then TFF ingechukua kocha yeyote MZAWA ili aikochi BARA,just kuleta taste ya maujuzi mengine angalau kwa muda.Hivi embu chukua hii na ujaribu kuifikiria kwa upana zaidi,,,Iwapo watakutana BARA vs VISIWANI na BARA wakapigwa,picha hili litaisha vipi??,,TFF na wadau wengine tuamke sasa.
ReplyDeleteMimi naona bado hatujaliona tatizo.......mpaka tutakapopata timu nyingi za vijana......waalimu wa kisasa.....muundo wa soka ulionyooka......wadhamini wanaona na kuzipa uzito/umuhimu timu zote ( sio Simba na Yanga).........viongozi wenye wivu wa maendeleo ya mpira (sio umaarufu..kujaza matumbo kisha waende kwenye ubunge)....TUNAHITAJI WATU WA SOKA WA KWELI sio wasanii. Bila hivyo sisi tutabakia Arsenal.. Barcelona...Real Madrid etc....Lazima tubadilike haraka....usanii, wizi, husuda, majungu na maneno matupu hayatufikishi popote.....
ReplyDeleteNawaunga mkono wadau wote. Tatizo halipo kwa kipa tu ila ni mfumo mzima wa uongozi Wa TFF ubadilishwe. TFF ni baba kama hawawezi kusuliisha watoto wake wamekubali nini kuzaa???
ReplyDeleteTatizo la Maximo na baadhi ya wachezaji wengine ndio kama tunavyojua wadau. TFF kimya kwa sababu kocha ni mbrazili halafu ana rangi za benki. Kama kocha angekua kaka michuzi na mimi na rangi zetu za kitumwa mbona tungekua tunaishia kupaa samaki Feli.
Mdau hapo juu inaonekana una upeo nimeshayazungumza hayo ya kocha wa jamhuri ya muungano kufundisha timu moja. Kilichatakiwa akae pembeni awaache wasaidizi wake Akina Pondamali wajifunze na ku build konfidensi. Nimeshayaonge huko nyuma nikaambiwa nachafua na sina Uzalendo. Myaone
Lakini mjuba sichoki kulonga. Nitalonga mpaka kufa kama kunaukweli.
Kisiju
wachezaji wa bongo bwana! jamaa anacheza na makubazi (sandles! Mwondoko wake nao ni wa kijotijoti!
ReplyDelete