kuna wadau wamekuwa wakinisumbua kutaka kujua waende wapi kufanya shopingi kwa ajili ya kitchen party za vijana wao. nikawaambia waende DEKOR KRAFT iliyopo mezzanine floor jengo la Benjamin William Mkapa Pension Towers (zamani MAFUTA HOUSE) mtaa wa azikiwe street jijini Dar. waliridhika. anuwani ya mahali hapo ni simu namba 255 717 792 843 ama kwa taswira za vilivyopoa hapo nenda
http://dekorkraft.blogspot.com/



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...