MKUTANO HUO UTAZUNGUMZIA MAMBO YA MSIGI KWA MAKUZI YA MTOTO KATIKA MALEZI YAKE YA KILA SIKU NA WAJIBU WA KUPATA ELIMU NA MAKUZI YA MTOTO DUNIANI KOTE KATIKA HAKI AMBAZO ANASTAHILI KUZIPATA KATIKA MAKUZI YAKE YA KILA SIKU, HAKI YA KUISHI, HAKI YA KULINDWA ,HAKI YA MAKAZI , HAKI YA AFYA KWA MTOTO, NA HAKI YA MAKUZI YA KUPATA ELIMU KWA JUMLA.

Anko Nanihii, hebu nifafanulie zaidi: Yaani huyu Shadya Karume anakwenda kumuwakilisha Salma Kikwete au anakwenda kwa wadhifa alionao binafsi? Je, Salma Kikwete naye anahudhuria huo mkutano?
ReplyDeleteWaosha vinywa msinicheke, mwenzenu nilikuwa msindikizaji darasani!!!!!!!!!!!!!!!!
mdau JP, vekesheni Bongo
ReplyDeleteni kwamba hata wewe unawezapewa nafasi ya kuwakilisha.huyo mama anamuwakilisha salma kikwete
ni hayo tu!
salma yupo cairo
ReplyDeletehuyo mke wa karume kamuwakilisha salma kikwete
teh teh ok
ReplyDelete