Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia , Dk Maua Daftari, ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Morogoro, akisisitiza mambo matatu wakati akiwahutubia wanaccm wa Mkoa wa Morogoro baada ya kupokea maandamano ya kujipongeza na ushindi wa kishindo wa serikali za mitaa, vijiji na vitongozi Mjini Morogoro jana. wa kwanza shoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa , Mhandisi Petro Kingu.
Balozi Mstaafu Mh. Job Lusinde ( kulia) akiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mh. Stephen Mashishanga ( kushoto) mwishoni mwa wiki wakitoka ndani ya Kanisa Kuu la Utatu Mtakatifu la Anglikana Dayosisi ya Morogoro kuaga mwili wa aliyekuwa Askofu wa kwanza wa Dayosisi hiyo, Gresford Chitemo ambaye alizikwa nje ya viwanja vya Kanisa hilo Novemba 6, mwaka huu. Picha na mdau wa mji kasoro bahari John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. huyu mzee Lusinde si ndiye baba yake jamaa wa Ze utamu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...