Home
Unlabelled
(NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI BEACH -TANGI BOVU)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
unaweza ukatuandikia nyumba hii inapangishwa kwa shilling ngapi and is it negotiable?
ReplyDeletemi naomba ramani tu ....
ReplyDeletemdau hapo juu ameacha namba ya simu,kwanini usimpgie kama kweli uko interested?mi nishampigia na kaniambia info za nyumba,mpigie ongea nae atakueleza kila unachotaka kujua
ReplyDeleteTuwekee more info bwana,ni shs. ngapi ina vyumba vingapi. Ili mtu ajipime uwezo wake kwanza kabal kukupigia simu.
ReplyDeleteIna vyumba vingapi, vyoo vingapi na bei ni shillingi???Kabla sijanyanyua simu ili kuja kuiona ningeomba hayo maelezo...
ReplyDeletehttp://www.dailynugget.com/2009/11/drunk_boston_woman_falls_on_train_tracks/
ReplyDeleteTangi Bovu? Tupe picha hiyo siku ya mvua!
ReplyDeletetoa maelezo ya nyumba kwa kina inafananaje...before hatujapiga simu
ReplyDeletesawa mwenye nyumba?