Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda wa pili kutoka kushoto akikata utepe pamoja na makamo wa rais wa Abbott Fund Tanzania Christy Wistar kuzindua Maabara ya kisasa iliyojengwa katika Hospital kuu ya mkoa wa Dodoma na Mfuko wa Abbott Fund kushoto kwa waziri mkuu,wakishuhudia kushoto Naibu waziri wa Afya Dr Aisha Kigoda,Dr John Vertefeuille(kulia)
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda(kushoto) wa wakifunua kifungua kipazia pamoja na makamu wa rais wa Abbott Fund Tanzania Christy Wistar(kulia)kuashiria uzinduzi wa maabara ya kisasa iliyojengwa na Abbott Fund katika Hospital kuu ya Mkoa wa Dodoma.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda watatu toka kushoto akimweleza jambo makamo wa rais wa Abbott Fund Tanzania Christy Wistar(kulia)wengine kushoto Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr James Msekela na Naibu waziri wa Afya Dr Aisha Kingoda wakati wa uzinduzi wa Maabara ya kisasa iliyojengwa na Abbott Fund katika Hospital kuu ya Mkoa wa Dodoma.

Mh. Pinda katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Abbott Fund Tanzania,mara baada ya kuzindua rasmi maabara ya kisasa iliyojengwa na Abbott Fund katika Hospital kuu ya Mkoa wa Dodoma.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...