


Mwenyekiti mkuu wa wilaya ya nani hii.
Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri ya kutufahamisha kila linarojili uko nyumbani na kote duniani. Leo ningependa nisheee na wadau kuhusu nchi ya Iceland nchi yenye vivutuo vya asili kale.kama hapa Blue Lagoon kwenye maji ya moto ambayo iko wazi na maarufu sana,iligunduliwa na watu wa nne waliokuwa kwenye lisechi na kubaini maji moto hayo na kilikuwa kipindi cha barafu na baridi kali sana.
Wadau wanao jua zaidi kuhusu hii nchi naomba watueleze tuelimike zaidi na waosha vinywa wapate lau kajielimu ka kubadilika. kweli Mungu kaumba mbingu na vilivyomo ndani yake
Mdau Iceland
kumbe walifanya lisechi, kama wangefanya risechi nadhani wangejua kwamba volkano inasababisha yanakuwa ya moto
ReplyDeleteWE MDAU WA ICELAND UNAONEKANA KUSHANGAA SANA HIZO "HOTSPRINGS"....NJOO JAPAN!! ANYWAYS, THANKS!
ReplyDeleteUncle nani hii kazi yako nzuri
ReplyDeleteNatafuta vyuo kusoma huko Iceland
ReplyDeleteKama kuna mdau anajua vyuo anidokezee , kozi za Early Learning and Children Psychology
Nataraji wadau watamwaga data
Mlundukwa Maiga
m.maiga@gmail.com
VILE VILE WANATUMIA HAYO MAJIMOTO KATIKA PRODUCTION YA UMEME.
ReplyDeleteAhsante Dunda nasitumeiyona Blue Lagoon Iceland tulikuwa tunaisikia jinsi ilivyo maarufu
ReplyDeleteHongera sana
Mwanakijiji Fotobaraza
Wewe mdau wa Sun Nov 08, 02:47:00 PM.umesoma alivyo andika mdau wa Iceland.Nanu kuu (lau waosha vinywa wapate kajieleimu)yeye nauli yake imeishia Iceland aje Japan kufata nini mbona ya japan utuwekei hapa?au ndio unaonyehsa uwanakharamu wako kwa kuwa uko kwenye chupa
ReplyDeleteMdau wa Iceland ahsante kwa mandahali ya Blue Lagoon
sasa huo ni mvuke yanatokota ,au
ReplyDeleteNachukia neno 'lisechi'. Kwanini iwe 'lisechi'?
ReplyDelete