
Akihojiwa na mtangazaji wa VOA Sunday Shomari, bwana Sikare alitoa shukurani za dhati kwa wote waliohudhuria na kutoa ushirikiano wa hali juu kufanikisha shughuli hiyo. Aliongeza kuwa imefika wakati kwa wasanii kutumia vipaji vyao kusaidia kwa namna moja ama nyingine watu wanaohitaji misaada katika jamii.
Alitoa shukurani za dhati pia kwa kampuni ya Walgreens Pharmacy ya Marekani ambao walitoa bei poa ya mafuta ya kinga ya jua kwa watoto wenye ualbino yaliyonunuliwa.
Mafuta hayo yatakwenda kusaidia watoto kuanzia miaka 5-10 na yatakabidhiwa kwa chama cha maalbino Tanzania hivi karibuni.

kwa kweli mie namzimikia saana albino flani yuko juu anang'aaa na mchuchuuu yani acha tu kitu kimetulia sana. we michuzi leo usiibane hii acha tu ajue walimwengu huku hatujiwezi ni hayo tu meseji hii ifike bila kwakwaru hata we michuzi ni handsome kama p didi na tuna kuluv kwa sana tuu ila mie kwa albino wa ukweli nimefika
ReplyDeletemdau canada
Michuzi naomba sana sana sana unipatie contacts za huyu Albino Fulani na unihakikishie kuwa hana mke, nataka nimuenzi kama mboni ya jicho langu.
ReplyDeleteAlbino kaka ninakuaminia sanaaaaaaa.... wasanii igeni mifano sio kukalia ngono, bangi, kunusa na ulevi!!!
ReplyDeleteAlbino ukija home ntakupikia ugali na dagaa kwa kanzi nzito uliyoifanya, mume wangu itabidi akae kando kidoooggoooo....nnakufia!!
ReplyDelete