Habari Mdau
Naomba kuwakumbusha kuhusu show ya Tanzanight hapa Finland.Show ya kwanza ipo kesho tarehe 6.11.
@ Korjaamo,
Helsinki na
kesho kutwa 7.11. @ Klubi,
Tampere.
Jukwaani wanapanda Sanaa Sana, Dudu Baya, Benjamin wa Mambo Jambo na Andrew Ashimba pamoja na wanamuziki toka Finland.Kwa maelezo zaidi tembelea viungo hivi:
http://www.clubworldbeat.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inapendeza kuona kuona wasanii kutoka nyumbani wanapata nafasi ya kuwasilisha sanaa ya nyumbani huku Ufini.

    Ni muda mwafaka kwao kutumia vizuri nafasi hiyo ili kujijengea majina yao na Tz kwa ujumla.

    Kila la kheri Dudubaya,Ashimba na Sanaa sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...