mdau akisoma tangazo sehemu za upanga karibu na makao makuu ya sido leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Aweke na dawa ya kufanikiwa kulipua ndege!!Hawa wanageria hawana maana kabisa

    ReplyDelete
  2. Umaarufu wa mganga huongezeka kadiri anavyozidi kutoka mbali. Waomani huawaamini sana waganga toka Afrika, weusi na ikiwezekana wawe na chongo. Huyu wa Kinaijeria yukoje - tafadhali naomba maelezo ya umbile lake.

    ReplyDelete
  3. masnapu si useme tuu unaendaga huko pia? yaani ni mteja

    ReplyDelete
  4. What a CRAP !!! Kama ana uwezo wote huo - kwa nini asingejetengezee pesa mwenyewe - masaidie ndugu yako Mnigeria alie jela marikani kwa kutashtakiwa kutaka kuripia ndege !!

    ReplyDelete
  5. shaise,si ajirogee yeye mwenyewe apate bahati,mvuto biashara iwe nzuri ......ili apate kazi ya maana yakulipa mamilioni kulikoni kukaa gizani??????
    mpumbavu tu huyo achomwe moto.
    na kudanganya watu waache kumwomba mungu na kumtegemea mungu wakaenda kwake.

    ReplyDelete
  6. HAHAHA MACHO YAKE ANASOMA KUMVUTA ALIYE MBALI MIE NATAFUTA KUWA MANDINGO.

    ReplyDelete
  7. Ati kumwita mpenzi alie mbali, aaaha ebo, siunatumia Mobitel, vodafone tu. Unabipu basi anakujibu.

    Ati dawa za biashara, mvuto-- hapa amevunja sheria. Kwanini baba wa taifa alisema, Tufanye kazi, tusiwe wavivu, tuishi, tusijidanganye kuwa kuna njia nyingine ambayo tunaweza kuendelea bila ya kufanya kazi.

    Ati nguvu za kiume, huyu ndiye aliyempa hizo nguvu mwanamke wa afrika kusini Semenya?????

    Sasa hivi tangu wote weusi tuna tabu sana kwani ukisafiri tu, unaulizwa are from nigeria? are you rich? is your father a banker?

    ni hayo tu

    ReplyDelete
  8. Mh!!! angelikuwa mtaalamu asingelikuwa anafanya kazi Tanzania, Tena nyumba ya kupanga si hasha.

    ReplyDelete
  9. HAWA WANIGERIA WAMEZOEA SANA KUWAONGEPEA DADA ZETU WAKIBONGO WALE WALIO MALIMBUKENI WANAOINGIA NCHI ZA WATU KICHWA KICHWA KWA HUU ULAGHAI ULAGHAI WAO. SASA WAMENOGEWA WAKAONA WAJE WAWALAGHAI WABONGO HUKO HUKO KWAO NYAMBAF KABISA HAWA,SIAJABU HAPO ALIPO HANA HATA MAKARATASI(VIBALI) VYA KUISHI NA KUFANYIA KAZI TANZANIA,OFISI YA UHAMIAJI NENDENI MKAMRAMBE NA PINGU HUYU TAPELI UPESI SANA TAFADHALI

    ReplyDelete
  10. Jamaa ni mpopo anakibali cha kazi cha Tanzania? maana hiyo ni kazi na anatakiwa kulipa tax.
    Namba ameshaweka mwenyewe wazee wahusika(uhamiaji) kazi kwenu.

    ReplyDelete
  11. hivi mpaka karne hii, bado watu wanapotezewa muda na hawa watu!!
    in general Africans need to change few perceptions and their mentality towards life
    first..there is no substitute for hard work
    second, black magic and other superstitious activities won't benefit you in anyway, esp in the long-run
    third, knowledge and ability to analyse information critically is the real power
    fourth and most important, there are so many opportunities in Africa, so wake up and sharpen your entrepreneurship skills and exploit those opportunities for your benefit

    ReplyDelete
  12. Mandingo linafaidi kinoma kaka,hivi asili yake ni wa wapi?

    ReplyDelete
  13. Siku hizi watu wapo educated!
    mambo ya waganga yalishapitwa na wakati, unaweza changanywa akili ukimsikiliza mganga, upuuzi mtupu! wizi mtupu! uongo mtupu! ashindweeee

    ReplyDelete
  14. Nakumbuka aliyekuwa DC wa Kinondoni Fabian Massawe alipiga marufuku matangazo hayo. Kahamishwa basi mambo vilevile nguvu ya soda. Kama kuna mambo ambayo yananichosha jiji la Dar ni kutokuwepo kwa uendelevu wa maagizo au amri za viongozi. Tazama jiji la Dar. Alipoondoka Kandoro na Madc wake watatu mambo yamekuwa hovyo kabisa. So sad. Sasa nimeelewa nchi hii tumelaaniwa. Kila linaloamuliwa hata liweje zuri halifanikiwi. Ni nini sasa kama siyo laana. Tanzania tunatakiwa tufanye maombi ya toba. Ile siku Mzee Nyerere alipoenda Bagamoyo na kuruka lile kaburi la mbuzi basi tumefungwa na maagano ya kuzimu. Mzee wetu masikini hakujua. Alifikiri he was playing politics. Hiyo laana ndiyo tunailipa sisi sasa. Nchi hii ni tajiri lakini wanaotajirika ni wageni. Sisi ni kikapu tu na wao wanvuna.

    Niambie sasa tangazo hili la kishirikina uongozi wa jiji wanaliruhusu vipi. Hii ni laana tu

    ReplyDelete
  15. Kwamba wanaume ndiyo wahanga wa mapenzi - that's bulshit!!

    Hawa bado wana yale mawazo ya kikale kuwafanya wanawake chombo cha kupitia tu kwa hiyo bwana ndiyo mtu pekee wa kukarabati.

    Hizi attitudes zitaishi lini??

    Well, a good this is - none of their things work these days.

    ReplyDelete
  16. achaneni nae huyo dawa ya nguvu za kiume hii hapa buree piga bakuli lako kuubwa la supu ya pweza a.k.a mnyama bahri itie pilipili mtama a.k.a pilipili manga ukishamaliza tafuna kipande cha papa mkavu msogeze dadayake mtu jamvini uone shughli yake sharti lazma iwe jamvini coz kitanda sometime kinarusha stim kwa fujo swinyoswinyo mdau greece

    ReplyDelete
  17. Jamani God have mercy in our lovely country plz!hawa wanaigeria si watu kabila infact wanaamini sana mambo hayo n they cover themselves under religion- born again people while they r not!i dont believe in those staff but they exist!stand in wat u believe, ending days!

    ReplyDelete
  18. KULOGWA HAKUNA KUWA EDUCATED!!TENA MAEDUCATED NDIO WANAOLOGA..HUYU BABA NI MGANGA MZURI SANA..MIE NAOMBA MJARIBU JAMANI...MSIPONDE..ATA BIBLIA IMESEMA UCHAWI UPO!!HAYAAA..MIE NIMESHAJARIBU DAWA ZAKE NI NZURI SANA..MDAU WA MBALI...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...