Bingwa wa Mabara Bondia Francis Cheka akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 4 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa benki ya CRDB,Tulli Esther Mwambapa katika hafla fupi ya kumpongeza bondia huyo baada ya kutwanga Mbrazil, Isak Tavares katika pambano la kuwania mkanda wa UBO Intercontinetal na WBC ililofanyika Dar es Salaam,juzi. Cheka alishinda kwa KO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. At last huyu jamaa anapewa heshima stahili. Yani kwasasa katika anga la michezo ni Cheka tu ndio anatupa KICHEKO. Si mpira wa miguu wala netboli. Hakuna cha riadha wala mbio za baiskeli sisi watanzania twashinda. Mpeni pesa huyu jamaa anaweza kuwa hata bingwa wa dunia hasa akipewa vifaa bora vya mazoezi maana nasikia yeye zake ni kukatisha milima ya ulugulu kama tambarare

    ReplyDelete
  2. dah nimeshindwa kujizuia kusema yaliyoko ndani kabisa ya moyo wangu kuhusu tulli esther mwambapa..kimwana anakuna mtima wangu..tuli njoo utulie tujenge familia huku tukisubiri hukumu ya mola wetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...