Home
Unlabelled
DJ peter moe invites you to zhong hua garden december 5, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
braza michu najua hii ni blog yako na ni hiari yako unachoweka hapa, na sijui kama unapata mgao kidogo kwa kila matangazo yanayotokea hapa. ila ninachotaka kusema ni kuwa picha kama hizi zinakushushia hadhi, si picha za mtu wa level yako kuwa kuziruhusu katika blog yako, amini usiamini blog yako inasomwa na watu wengi wakubwa na wadogo na viongozi tele. kwa hivyo ushauri wangu ni kuwa na standard nzuri ya unachokiruhusu kutokea katika blog yako. asante sana.
ReplyDeleteRespondent wa kwanza, you have a point lakini kumbuka bwana Michuzi sio kasisi au serikali, he is a professional na anahitaji kujiongezea kipato out of this blog na kazi anazofanya, kasisi anakula sadaka, serikali inakula kodi, Michu ale wapi!? Wateja wake ndio kama hawa , baadhi wanakuja na mipicha michafu lakini naamini Michuzi yuko makini sana kuchambua yanayofaa na kutupa yasiyofaa kwa blog ya jamii. Naamini anatumiwa mavitu kibao lakini ana-filter yaliyozidi uchafu yasipite. Keep it up bro.
ReplyDeleteWADAU NINA SWALI. HIVI KWANINI WASICHANA NA WANAWAKE NDIO WANAOTUMIKA ZAIDI KUTANGAZA BIASHARA WAKIWA NA PICHA NUSU AU ROBO TATU UCHI? KWANINI TANGAZO LA GARI MPAKA DAWA YA MENO, VITU AMBAVYO HAVIHUSIANI NA MWILI WA MWANAMKE, MARA NYINGI HUPAMBWA NA MWILI WA MWANAMKE ALIYE ALMOST UCHI? KWANINI KATIKA MUZIKI KOTE DUNIANI NA SASA INAZIDI AFRICA MWANAMKE HUCHEZA NA KUIMBA AKIWA ROBO TATU UCHI WAKATI WANAUME WANAPIGA PAMBA KALI ZINAZOWASETIRI VIZURI!? KWANINI WANAWAKE WANAKUBALI UDHALILISHWAJI HUU? MBONA HATUJAWASIKIA TAMWA, WLAC, TAWLA NA GWIJI TGNP NA WENGINEO WAKIKEMEA UDHALILISHAJI HUU PIA HAPA TANZANIA?
ReplyDeletekaka huyo naona ni ufitini wake wa kutaka kujua unapata nn,lakini picha haina maajabu yoyote,siyo ya utupu,ht picha za madada zetu mamiss zinawekwa kwy blog!na kawaida tu!
ReplyDeleteMimi sijui kama macho yangu yanaona sawasawa kwani hiyo picha ina ubaya gani? Huyo mdada mbona kavaa kawaida sana! Mbona mamiss huwa wanatwanga bikin na hakuna anayekoment zaidi ya kugeuka majaji tusio rasmi, au huyo anaweza kumfikia dada yangu Ray c enzi zake kwa kujiachia? Bongo ya sasa mbona tambarare, hebu tembelea Mlimani city siku za week end ukaone mavazi tena mabinti wengine wameongozana na familia zao.
ReplyDelete