Wakaazi wote waishio DMV,mnakaribishwa katika kongamano la kwaya likalo jumuisha, The Mission Band kutoka Alabama wakiimba pamoja na vijana wetu Maryland na Dc, Jacob Marere,Samweli Malonja na Johson Mzava
ijumaa january 1, 2010 saa kumi jioni (4:00Pm) Ukumbi wa
3621 Campus Drive,
Colege Park,Md,20740

WOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...