ANKAL, MERRY CHRISTMAS NA HAPPY NEW YEAR.
NAOMBA KUTANGAZA BLOG YANGU MPYA IITWAYO
moviesblog-gameroom.blogspot.com.
HII NI BLOG YA MOVIE TRAILER VIDEOS TU. NAOMBA KUCHUKUA NAFASI HII KUKUKARIBISHA WEWE NA WADAU WA GLOBU YA JAMII KWENYE BLOG HII. MIE NIKO DALLAS,TEXAS, NCHINI MAREKANI.

KATIKA BLOG HII WADAU WATAPATA UNAFUU WA KUJUA NI MOVIE GANI WAINUNUE BAADA YA KUANGALIA TRAILER YAKE. SI UNAJUA TENA MACHINGA KWENYE BAR WANAUZA DVD AMBAZO TUNANUNUA KWA KUBAHATISHA. ILA SASA WADAU WANAWEZA KUNITUMIA EMAIL NA KUNIAMBIA MOVIE GANI WAMEIONA MTAANI (JINA TU LA MOVIE) MIMI NAWAPATIA TRAILER. NA BAADAE WADAU WANAWEZA KUANGALIA FULL-MOVIE MOVIES MPYA BURE( HILO BADO LINAPIKWA).

ASANTE SANA
SIKUKUU NJEMA.
WAKO MDAU WA DALLAS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Blog yako nzuri sana. Ombi...ningependa categories uziweke juu halafu recent post uweke chini. Mtu akiingia anaangalia topic anayopenda right away....kama nilivyoingia tu nilivyowaona hao KARDASHIANS wala sikutaka tena kuangalia hii blog kwa vile siwapendi just because ni ya mtanzania mwenzangu ndio maana nikavuta pumzi.....sasa kama ukiweka categories up mtu akiingia anaangalia kile kinachomfurahisha right away...

    ReplyDelete
  2. Mtoto wa CoastDecember 30, 2009

    Kutoa vionjo (Trailers)bure inawezekana lakini kusema unaweza kutoa movies MPYA bure tusidanganyane maana wewe una fedha kiasi gani ya kuwalipa wenye haki milki ya kazi zao kama si mpango wa kutundika nakala hafifu za picha zilizoibiwa hapa.
    Jaribu pia kusoma tena masharti ya kuendesha blog hilo pia utaelezwa huko.

    ReplyDelete
  3. ni kweli nitafanya marekebisho. asante kwa ushauri wako

    ReplyDelete
  4. Mtoto wa coast- kwa nini usishukuru kwamba atleast kuna Mtanzania mwenye akili ya kuweka blog kama hiyo. Usiangalie negative basi kama ni hivyo kwa nini usiwaambie machinga wanao uza DVd yenye quality mbovu waache think twice before u say something sometimes it might bring negativity. Ile blog ni ya kusaidia watu wasio kuwa na access ya kujua movie zinazo toka na zilizotoka na zinazo tarajia kutoka. Basi kama hivyo kuhusu movie za bure then YOU TUBE ISINGE KUWEPO na pia fikiria ni bure na huna haja ya KU-DOWNLOAD (hajasema ataweka movie mpya) kasema ataweka trailer za movie mpya. DONT HATE APPRECIATE. (quality au sio quality ni bure na burudani).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...