KWA mara nyingine tena, Serikali imewasilisha maombi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam, ikiiomba mahakama hiyo itoe kibali cha kugawa bure samaki aina ya Jodari, ambao walivuliwa na wavuvi aramu katika Bahari ya Indi upande wa Tanzania.
Umauzi huo wa Serikali umefikiwa baada ya hapo awali mahakama, kuyatupilia mbali maombi kama hayo ambayo yalikuwa yakiiomba mahakama kutoa kibali cha kugawawiwa kwa samaki hao.
Mbele ya Jaji wa Mahakama hiyo Raziah Sheikh akiwasilisha maombi hayo, Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali Boniface Stanslaus, aliiomba mahakama hiyo kuwaruhusu kugawa bure samaki hao, ambapo pia alikiri kuwa Serikali itakuwa tayari kurudisha fedha kwa washitakiwa hao katika thamani halisi ya samaki hao , iwapo washitakiwa hao wataachiwa kwa kuonekana kuwa hawana hatia.
Stanslaus alidai hilo limethibitishwa katika kiapo kilichowasilishwa mahakaman hapo na katibu mkuu wa wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi, Dk Charles Nyamhinda.
Aidha katika maombi hayo, Wakili huyo pia alidai kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imeamua kugawa samaki hao, baada ya kushindwa kupata wabia wa kuwanunua wakati gharama za kuendelea kuwatunza zinazidi kuongezeka siku hadi siku, toka walivyokamatwa na washitakiwa hao.
Katika maombi hayo Serikali pia imeiomba mahakama hiyo kubadilisha amri ya mahakama ya Octoba 1 na 20 mwaka huu iliyowataka upande wa serikali kuwasilisha taarifa ya uuzwaji wa samaki na risiti ya malipo, kwa kuwa samaki hao watagawiwa bure.
Akiwasilisha upande wa utetezi, Wakili Ibrahimu Bendera ambaye aliiomba mahakama hiyo kuwa ipange mipango maalumu ili iwapo washitakiwa hao watakaposhinda kesi, waweze kupewa fedha zao.
Bendera alidai kuwa ikitokea washitakiwa hao wakashinda kesi, basi mahakama hiyo itoe amri kuwa kiasi hicho cha fedha kiwekwe mahakamani na amri ya mahakama itaje muda maalum ambao serikali itatakiwa kuweka fedha hizo mahakamani.
Hata hivyo Mahakama hiyo ilisema kuwa, itatolewa taarifa ya uamuzi wa maombi hayo. Hapo awali Serikali iliwasilisha maombi kama hayo katika Mahakama hiyo, ambapo yalisikilizwa na jaji huyo.
Hata hivyo maombi hayo yalitupiliwa mbali kutokana na dosari mbali mbali, zilizogundulika kuwapo katika hati ya kiapo iliyowasilishwa mahakamani kuomba kibali cha kugawa samaki hao.

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. John Magufuli, alitangaza mpango wa serikali kugawa samaki hao bure katika vyuo, shule za sekondari, taasisi za dini zinazolea yatima, na hospitali na kwamba samaki hao hawataruhusiwa kuwauza.
Mpango huo wa serikali kutaka kugawa samaki hao bure, haukufanikiwa kutokana na kukosekana kwa mzani wa kupimia samaki hao, kwaajili ya kugawiwa bure.
Katika kesi ya msingi, raia 37 kutoka nchi za Uchina, Vietnam, Indonesia, Ufilipino na Kenya wanaendelea kusota rumande baada ya kukamatwa wakivua tani 296.32 za samaki aina ya Jodari.
Kibali kikitoka wawe disposed, msigawe uozo!!!??? Ukiona wakubwa wanachukua ujue ni kwa ajili ya poppy na pusy.......bisha...
ReplyDeleteAcha kuandika ujinga. Kama unaona huna mchango chanya basi ni bora kutoandika.
ReplyDelete