Ras Nas (mwenye bizbo nyekundu) pamoja na kikosi chake wakiwasili Colombo leo (Jumatano) tayari kwa maonyesho matatu miji ya Colombo na Galle, Sri Lanka, wikiendi hii. Ras Nas anawasilisha Norway na Tanzania vile vile!

Toka kushoto Larry Skogheim (besi, Norway), Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi (sauti na ridhim gitaa, Tanzania), Dag Pierre (solo gitaa, Sweden), Chuck Frazier (solo namba mbili, Houston Texas), Uriel Seri (drums, Ivory Coast), Karlos Rotzen (kinanda, Martinique).

Habari ndiyo hiyo wadau. Asanteni!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Naona TIGO ipo mpaka Colombo, Hivi wadau kirefu cha TIGO ni nini hasa, au ni kama ilivyo tu na si abbreviations za chochote?

    ReplyDelete
  2. Kirefu cha TIGO ni TIGO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...