
Ras Nas (mwenye bizbo nyekundu) pamoja na kikosi chake wakiwasili Colombo leo (Jumatano) tayari kwa maonyesho matatu miji ya Colombo na Galle, Sri Lanka, wikiendi hii. Ras Nas anawasilisha Norway na Tanzania vile vile!
Toka kushoto Larry Skogheim (besi, Norway), Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi (sauti na ridhim gitaa, Tanzania), Dag Pierre (solo gitaa, Sweden), Chuck Frazier (solo namba mbili, Houston Texas), Uriel Seri (drums, Ivory Coast), Karlos Rotzen (kinanda, Martinique).
Habari ndiyo hiyo wadau. Asanteni!
Naona TIGO ipo mpaka Colombo, Hivi wadau kirefu cha TIGO ni nini hasa, au ni kama ilivyo tu na si abbreviations za chochote?
ReplyDeleteKirefu cha TIGO ni TIGO.
ReplyDelete