Wadau wa Manchester, UK, wamejiandaa kusherehekea Uhuru wa Tanzania na Kenya Ijumaa tarehe 11/12/09 kwenye ukumbi wa Alter Ego ambayo iko hapa hapa Manchester.
Tiketi za hii sherehe sasa zinauzwa kwa £7.00 lakini pale mlangoni ticket zitauzwa kwa £10.00.

Sherehe itaanza saa 4 usiku ambapo chakula cha Kitanzania kitapikwa na kuuzwa kwa £5.00 kila sahani mpaka saa 6 za usiku na baada ya hapo take-away zitakuwepo kwa bei zaidi.

Ma-DJ kwa siku hiyo ni kama ifwatavyo:
★ DJ COLLO ( bongo flava,genge,kwaito,afro beatz )

★ DJ QUEST ( r n b,hip hop, mtalaamu wa bashment )

★ DJ MORRIS ( mtalaamu wa afro beatz )
TIKETI ZINAPATIKA KWA:

SHARIFF MOHAMMED: 07988356791

KARIBUNI SANA.....................

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. matangazo mengine bwana !!!!!!!!!!
    sasa hilo tako la huyo dada linafanya nini hapa lol
    what does that got to do with uhuru wa Tanzania na Kenya?


    mmmh kazi kweli

    mdau
    Canada

    ReplyDelete
  2. Michuzi nina maswali mawili kwa wadau,
    Mosi, Hivi sherehe za uhuru zinasherehekewa kwa kupiga disco, kunywa pombe na mambo mengine ya anasa? embu mcheki huyo dada kwenye hilo tangazo na kichupi chake then reconcile na uhuru...inaleta picha?

    Pili, Tanganyika ilipata uhuru tar 9/12/1961 kutoka kwa wakoloni. Imepita miaka 48 na taifa hilo la Tanganyika halipo tena, sasa tunasherehekea nini?

    ReplyDelete
  3. Naomba kupiga kelele kali sana brother michuzi. Hizi jamani sio sherehe za uhuru wa tanzania. tanzania haikupata uhuru. hizi ni sherege za uhuru wa tanganyika. na januari 12 ni uhuru wa zanzibar. sherehe ya tanzania ni ya muungano!!! mwenye kupinga na alete ubishi wake tujadili!!!!!

    ReplyDelete
  4. MICHUZI TUTAKE RADHI HUWEZI BENDERA ZA NCHI UKAZICHANGANYA NA MATAKO ALAFU ZIKATOKA KWA PAMOJA, HIVI UNAJUA NINI MAANA YA BENDERA UMENIKELA SANA USIJE UKAINGIA KATIKA BAA LEO NTAKUPIGA NA CHUPA KICHWANI

    ReplyDelete
  5. ooh kumbe tuko wengi tu umu hatuielewi iyo picha na uhuru wa tanganyika????

    yani mzee wa libeneke,jamani TAKO la dada uyo na bendera na uhuru wapi na wapi????tena matiti yako wazi tu juu hajavaa kitu

    eeeh ukosefu wa nidhamu kabisa huu,au ndo mabox yanawachanganya nyie wabeba boxes

    imenikera sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...