By Diaspora Writer,
London
In an act of defiance to Ugandans legislators ,Ugandans in the Diaspora and other Human Rights Activists today staged a demonstration outside the Uganda High commission in London claiming that that the new law being discussed in Parliament would create a new crime of "aggravated homosexuality", which is punishable by death.
According to the bill, those convicted of having gay sex with disabled people and those under the age of 18 would face the death penalty. The bill also imposes life imprisonment on those who have homosexual sex.
Although this is already the case in Uganda, the new law widens the definition of the offence. Both Britain and Canada’s prime ministers have told President Yoweri Museveni that a proposed law that would result in homosexuals in Uganda being imprisoned for life or even executed needs to be withdrawn.
The Bill proposes a three-year prison sentence for anyone who is aware of evidence of homosexuality and fails to report it to the police within 24 hours.
Homosexual acts are already illegal, but the Anti-Homosexuality Bill proposes new offences and urges the toughening of existing penalties. Human-rights groups, including Amnesty International and Human Rights Watch, have condemned the bill.
They say it is a product of a campaign by evangelical churches and anti-gay groups that has led to death threats and physical assaults against Ugandans suspected of being gay
Serikali ya UGANDA kufanya hiv ni sawa sawa. Ata Tz 2kifanya hivi ni bomba zaidi magei wahukumiwe. Mwenyezi MUNGU sio mjinga kuumba wanawake na wanaume kwanini 2nataka kujibadirisha jinsia ze2 na kwenda kinyume cha sheria? Watoto we2 wakizaliwa waone magei mtaani au jirani yake ni gei atajifunza nini? Mtoto hapo ndio mwanzo wa kuiga na kuharibu muelekeo wake. Angalia marekani na nchi zilizoruhusu inatia ata kinyaa, kusema kweli. Serikali ya UGANDA hekooooooooo na msibadirishe sheria hii...Kigogo Boy
ReplyDeletemichuzi kwanini unaweka hizi post?
ReplyDeleteweka kapuni hazina maana zaidi ya kuwahabarisha washenzi wenzao ambao nao ipo siku wataiga
imenichefua sana
Wadau,
ReplyDeleteHiyo ni gia ya kupata huruma toka Home Office UK wapatiwe haki ya ukimbizi Uingereza 'sababu maisha yao yatakuwa hatarini' wakirudishwa Uganda.
Dizaini ya hao wajamaa wanaojifanya 'mashoga-feki' ilianzia Jamaica na sasa wakimbizi wa kiuchumi toka nchi nyingine kama Uganda na Zimbabwe kutaja chache, wanazitumia kupatiwa makazi nchi za Ulaya.
Kama wao ni wakweli basi wasivae miwani myeusi na makofia kujificha sura zao tuwaone na kuwatambua kuwa ni 'watoto wasio riziki'
Kweli watu wanajidhalilisha kiasi hicho kupata makaratasi, hii kali kweli kweli.
I am not a Ugandan, but I say 100% this is good news, I support the Ugandan Government. The so called “freedom” believe me it’s the road to HELL. People can’t be allowed to do anything they want in the name of freedom. People are no longer using their intellect at all now a days, why someone would want to follow his/her lusts instead of using common sense???. For those my fellow Africans, who do not value their culture and traditions; I feel pity for you. Homosexuality is a disgusting practice; you would not expect even an animal to perform such an act. God Bless Uganda and Africa.
ReplyDeletehi! Kamchezo aka ka popo bawa kipo hata kuweni? unajua hawa jamaa hii ni njia ya kuchukulia ukimbizi kuwa wao ni mashoga na wakirudi Uganda watanyongwa au kutengwa na jamii.ni mbinu tu kwa sababu lazima kati yao kuna wanafunzi washaramba nondozzz na mkate wa london mtamu kuliko matoke,naona hii mbinu babu kubwa kamataieni hapo hapo wakwe zetu
ReplyDeleteWell done Museven, achana na hao Wacanada na Waingereza!
ReplyDeleteUshoga Afrika umekuwepo miaka nenda rudi,ila kama kawaida ya jamii za kiafrika mambo mengi hayaongelewi waziwazi na kuonekana ni mwiko.Inashangaza bunge la Uganda linapoteza muda kujadili sheria ya kifo cha watu wanapendana na kufanya mapenzi wa jinsia moja,wakati mafisadi na wala rushwa hawajadiliwi na kupewa adhabu ya kifo.Ndio ni hao hao wanaopitisha sheria ndio wahusika wenyewe,haingii akilini juona siku moja watajipa adhabu ya kifo.
ReplyDeleteacheni urofa wenu nyie,kwani wao kuwa gays inawahusu nini?yaani siamini kwanini waonekane ni criminal na wahukumiwe kifo kwa ajiri tuu ni magay,huu ushenzi wa kuonea watu wa group fulani upuuzi wa hali ya juu na hakuna tofauti na zamani weusi mlivyofanywa watumwa na kubaguliwa kwa ajiri ya rangi zenu,huu ni uonezi wa hali ya juu na inabidi hawa waganda wanaotaka kuleta hizi sheria walaaniwe...good news waganda wakipitisha tuu hizo sheria chamoto watakiona na watakatiwa kila kitu warudi kula mizizi kama ng'ombe,na wabongo tunajua huo mchezo mnaufanya sana ila kujidai tuu sijui muonekane nini
ReplyDeleteJamani mimi naongea kama mama, mzazi mwenye mtoto wa kiume, hamjui jinsi gani uchungu unampata mzazi kuwa na mtoto wa aina hii, kunawengine wanazaliwa hivyo na jeni za kike zikiwa zimezidi mwilini na akikua zinakuwa zimemtawala, nawashangaa mnaoshabikia wauwawe, wakati aliyewaumba alikuwa na sababu yake nyinyi hayajawahi kuwafika ndio maana. Wale wanaotokea kuwa hivyo bila kuzaliwa wamesababishwa na wanaume ninyi mnaotaka sheria hii ya kuuwawa itimizwe. Mngesema wauwawe wanaotongoza mashoga au wanaobaka watoto haswa kinyume na maumbile wakiume ningewaelewa kwakuwa hawa wote hawakuanza hivi hivi kwa hiyo wana haki ya kupinga, iwe wanataka assylum au hakuna wala hamju mnachosema mnyamaze kabisa!
ReplyDeleteReally Uganda? Is this so important? What consenting ADULTS do in their own bedrooms shouldn't be any of your business.
ReplyDeleteWe as a nation, as a continent even, should focus on getting rid of other problems that affect our daily lives e.g.child soldiers, war, famine, and the spread of rape which is rampant amongst HETEROSEXUALS either through unprotected consensual sex, or even rape.
Jamani, whatever religion you belong to you know that you cannot cast the first stone. Tanzania yenyewe is guilty of sin.
Najua wanasema dhambi zote ni sawa but in my opinion albino killings are WORSE than two men or women having sex. If it doesn't affect your life, why should you care?
Maybe if we just stayed out of each others' business we might actually focus on issues that matter.
By the way I am a straight woman if you were wondering :P
Wacheni unafiki.
ReplyDeleteMpaka ndoa za mashoga munazifunga katika majumba yenu ya ibada sasa kwa nini hawa muwajie juu?
(US Blogger)
It will be very good for Tanzania to do exactly what Uganda did Because this wave of homosexuality and gay marriages is sweeping very fastly, around the world. For the case of Africans, having being mentally distorted after colonialism, we imitate everything the White people do. So Uganda has shown the way for others...good move.
ReplyDeleteI TIMOTHEO 1 ,8--11
ReplyDeleteHii imetulia sana.......Tz itabidi tule njama tupige mkwara feki hewani.....kama vile kutangaza "ADHABU YA KIFO" for whatever reason.....ili ndugu zetu walioko nje wapatiwe MAKARATASI kwa huruma ya serikali (ESPECIALLY UINGEREZA).....kumbe CHANGA LA MACHO!!.....lazima ifike mahali serikali za Africa ziwe matapeli kwa faida ya raia wake.....
ReplyDeleteHiyo ni kupoteza wakati wa serikali kujadili na kupitisha sheria za ku-adhibu mashoga. Kweli ushoga upo duniani nzima na ipo hapa miaka mingi isiyo na hesabu. Ziko sababu nyingi za watu kuwa na hali hii, msitari wa chini ni kuwa sio kazi ya serikali ya kuwatafuta na kuwatia jela au ku-wanyonga. Hii kwanza itarudisha nyuma kupiga vita ukimiwi - kwani hawa watu sasa wataogopa kwenda kupimwa na kupata matibabu. Wacheni uongo Serikali ya Uganda, je wale mapadre wa kikatoliki wanao fanya watoto wadogo ? !!! Hata kuna Mashehe vile vile ambao wanfanya na wanafanywa !!! Huko marikani mapadre wa kikatoliki wamelipishwa faini za mamilioni ya dollars ya kuwafidia waliofanyiwa vitendo na mapadre, hakuna hata mmoja aliyekwenda jela. Nakuhakikishia hata huko Saudi Arabia na Iran kuna wasenge. Mimi binafsi,sishangilii maisha ya aina hii na hasa mambo ya ndoa ya mume na mume au mke kwa mke, this is going too far !! - lakini kama ndugu alivyosema hapo juu - yanao fanywa chumbani - sio kazi ya serikali ya kuingilia - unless mtu anafanywa kwa nguvu au anateswa bila ya makubaliano. Waache wenyewe dhambi ni za kwa Mwenyezi Mungu wala sio kwa serikali.
ReplyDeleteMimi sisapoti ya kuua na kufunga homosexuals ...ila I am 100 % support the law to kill all pedophiles... kwanza with the slow lethal injection.... after seeing the story about that guy in NC who carried the little baby girl into a motel and killed her...I feel like anyone who is capable of doing that to an innocent baby is a killer so kill him first.
ReplyDeleteMnaotetea ushoga wekeni namba zenu na majina.
ReplyDeleteMuseveni na gvt yao wameamua kuwa wazi-Unajificha nn na kupinga busara za wenzenu?
hata kama duniani kuna mashoga Uganda-hell "NO". Big up MU-7
Mnaotetea tunaomba muwe wazi kwa majina na namba ili tukiwa interested tuwapigie tuwape mambo
du ningekuwa na passport ya uganda ningejifanya shoga ili nipate uraia kwani tangu nimezamia hapa uk nashindwa kurdi bongo sina makaratasi ya uk
ReplyDeleteKichekesho ni kwamba wanaopinga hiyo sheria ni wazungu peke yao na waafrika/waganda ni wachache sana.
ReplyDeleteTunaishi kwa akili za kupandikizwa na kuamuliwa na wazungu
Ingia facebook search Uganda Gays utakuta wazungu more than 15,000 wamejiunga kupinga sheria hiyo.
Sick! Wazungu watuache tujiamulie maisha yetu
Its all evil-Anti christ
The propagation of the New World Order (NWO) under the influence of America
Vuruga dini, amani, lete vita, ushoga na vunja makanisa makubwa kama katoliki na uislamu then dunia itafuata NWO
Theory ya FreeMasons na inafanya akazi kila leo
Wanafadhili kuanzishwa vijikanisa na vikundi visivyo muhimu
God help us
We unaetaka namba za wanaotetea mashoga unazitaka za nini? So you can come and burn my house down? Forget it.
ReplyDeleteMnapenda kujifanya ushoga ni kwa wazungu tuuu na ni tabia 'chafu' inayofundishwa na wazungu. Halafu you use religion to justify the hate and killings of these people. You know the bible also says thou shall not judge, it also said that we should love our neighbours as you love ourselves. Msitumie dini to justify hate mnasema 'ohh biblia inasema hivi' but like i said the bible also says a lot of things, and we're all guilty of one thing or another. Please stop using a religion that was introduced to us by the same people that raped, killed and enslaved us mentally and physically for years. If religion is abused it can be very dangerous. OPEN YOUR MINDS AND THINK OUTSIDE THE BOX.
Na wewe anonymous01:59, what exactly is your point? You can also search 'albino killings' on facebook and you will see a large number of white people that are against it. So does this mean that they care more, and us Africans don't give a damn?