WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia akiwa na Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba mara baada ya kumtunuku nondozzz yake ya Uzamili katika mambo ya Uongozi na Utawala (MBA) kwenye Chuo cha ESAMI mjini Arusha. Pembeni yao ni Professa Bernard Veltman kutoka Taasisi ya MSM ya Nchini Nertherlands, Taasisi hiyo inashirikiana na Chuo cha ESAMI
Mbunge wa Kigoma mjini Mh. Peter Serukamba mara baada ya kula nondozzz yake ya Uzamili katika mambo ya Uongozi na Utawala (MBA) kwenye Chuo cha ESAMI mjini Arusha. Pembeni yao ni Professa Bernard Veltman kutoka Taasisi ya MSM ya Nchini Nertherlands, Taasisi hiyo inashirikiana na Chuo cha ESAMI. Picha na mdau Eliya Mbonea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MWESHIMIWA SERUKAMBA AFYA NI KITU MUHIMU SANA KULIKO HIYO NONDO ULIYOKULA SASA NAKUOMBA RESOLUTION YAKO YA 2010 IWE KUPUNGUZA UZITO WALAU KILO HAMUSINI TU. MTU NI AFYA ELIMU NI AFYA SASA HII IWE CHANGAMOTO SINA MAANA UWE PETITE LAKINI JALI AFYA YAKO. ASANTE NI MIMI NDUGU YAKO NTAKANDI!

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Serukamba , hongera sana kwa hatua hiyo kwa kuwa ni watu wachache wanapopata madaraka makubwa hukumbuka kusoma. mungu akujalie uongoze vyema jimbo lako na Tanzania . hakika mungu ana mapenzi yake katika kila jambo . big up .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...