Mganga Mkuu wa serikali Dk. Deo Mutasiwa akizindua rasmi ripoti ya Taifa ya hesabu katika sekta ya Afya (NHA) ya mwaka 2002/3 na 2005/6 ikionyesha matumizi katika magonjwa ya Malaria, Kifua Kikuu, Ukimwi na katika Afya ya mama na motto leo jijini Dar.
Mganga Mkuu wa serikali Dkt. Deo Mutasiwa akimkabidhi mwakilishi wa shirika la Ushirikiano na Maendeleo la Uswiswi (Swiss Agency for Development and Cooperation) Bw. Jacques Mader ripoti ya Taifa ya hesabu katika sekta ya Afya (NHA) ya mwaka 2002/3 na 2005/6 ya matumizi katika magonjwa ya Malaria, Kifua Kikuu, Ukimwi na katika Afya ya mama na mtoto mara baada ya uzinduzi leo jijini Dar

Mganga Mkuu wa serikali Dkt. Deo Mutasiwa akiongea na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya nchini kutoka serikalini, Taasisi mbalimbali na wawakilishi wan chi washirika wa maendeleo leo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa ripoti ya Taifa ya hesabu katika sekta ya Afya (NHA) ya mwaka 2002/3 na 2005/6 ikionyesha matumizi katika magonjwa ya Malaria, Kifua Kikuu, Ukimwi na katika Afya ya mama na mtoto.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MICHUZI, ASANTE SANA KWA HAYA MAMBO UNAYOTU-UPDATE. JE NINAWEZAJE KUIPATA HIYO RIPOTI??????? KAMA KUNA LINK TUWEKEE MKUU..AU NDIYO MAMBO AMBAYO UNATAKIWA UWE UNAYAANDIKA HAYO ILI U-POST ONLINE.

    ReplyDelete
  2. anaitwa Deo Mtasiwa, ni mhehe huyo. Siyo Mutasiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...