wadau wa chuo kikuu cha tumaini university huko a-taun walitembelea meserani park kujionea aina mbalimbali ya nyoka na viumbe vingine. wanatoa salamu za msimu kwa wadau wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hili bango mbona halijulikani lipo nchi gani jamani!!!. Watanzania hatujui kujitangaza kwa kweli.

    ReplyDelete
  2. I hate snakes so much,I think its not normal, its pathological.Nafikiri nikirudi Tanzania nitatafuta mganga anichanje chale na kunitambikia
    There is no way anybody can convince me to visit a snake farm
    Thats why I love Ireland, there are no snakes there, its said St Francis killed them all
    HERI YA NOELI MICHUZI NA WADAU WOTE
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  3. Kaka michu haki ya nani tena nilijua jamaa wanarekodi kwaya tehu tehu tehu..hapo ni Meserani snake park , Kisongo, Arusha..halafu wewe mdau wa pili hapo juu kama hutaki snake potezea unajidai na kwa watu rubbish, mbona kuna vitu unaviogopa there's no way ukawa convinced lakini unaangalia na kutumia nyamafu we.

    kheri ya noeli na mwaka mpya wadau wote wa blogu ya kaka michuzi

    ReplyDelete
  4. wewe anon wa kwanza,
    umeshaambiwa ipo A-town (Arusha) soma uelewe kwanza.
    na hawa hawakuwa wanatangaza chochote, wametuma tu picha yao ya vacation.
    watu wengine bwana,!!!??
    someni kwanza muelewe ndiyo muandike lol

    mdau
    Canada

    ReplyDelete
  5. But not you my brother (or sister) of
    03:27,pass no judgement.If only you could remove the log from your eye may be you could see and remove the spec from my eye (mod:Math 7:1-5)
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  6. Weee muirish kama uko Ireland kwanini useme tena there are no snakes there???? LOL

    ReplyDelete
  7. Michuzi
    Tell that schmuck, that I liked Ireland. I did not say I am in Ireland or I live in Ireland
    Wakatabahu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...