ankal akimshukuru jide kwa kutimizan ahadi
ya kutoa kilo mbili unusu kwa shindano la kwenye libeneke lake.
ankal na wadau wakichill na albino fulani anayeendelea kutesa na vekesheni yake bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Napenda pozi la albino fulani, ankal unawapata wapi watu mhimu hawa?

    Lakini wadau mmenitamanisha hiyo chui chui

    ReplyDelete
  2. ukinipa nafasi... single fresh sana albino fulani. safi safi safi

    ReplyDelete
  3. Misupu, iko tibua sponsor wako Ndovu! Wewe onyesha bia Serengeti wakati mimi iko lipa wewe kama sponsor! Mimi iko chukia!!

    ReplyDelete
  4. Wasanii wote wangekuwa na upevu na utayarifu wa kutoa michango yao kama Jide ingefurahisha sana. Endelea na moyo huo huo Binti Machozi. Mungu atakufariji na kufanya kikombe chako kisipungukiwe!

    ReplyDelete
  5. Michuzi naye freemason? angalia alama ya vidole na pia google picha za kina Bush, Ludacris, Lil Wayne na wengineo! kama siyo,tueleze maana na sababu ya kuonyesha ishara hiyo.Ungeweza kabisa kula mikonozzz lakini ukaona aah aaah.....

    Zhuo

    ReplyDelete
  6. Ka michu really? yaani mtu ukitoa msaada ndio unatangaza namna hiyo? hiyo haionyeshi kama inatoka rohoni ni kama unataka tu watu waone kwa kujifurahisha haionekani kama ni legitimate, anyways its just a thought.

    mdau massachussets

    ReplyDelete
  7. ni vizuri sana tena sana tulivyoacha kuwatenga wenzetu ambao wanamatatizo yaliyo nje ya uwezo wao.

    Michuzi ni vizuri unavyoonyesha mfano bora. afu cheyo hazeeki mmmh nilimdate saa niko bongo zamani sana miaka ya 47 hahahahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...