Timu ya Kiungani ya Zenji mwaka 1906 wakipozi na kocha na mfadhili wao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mbona wazenji hawa hawana nywele za kisomali? au hawa ndo wenyewe orijino?

    ReplyDelete
  2. ankal kumbe maximo alifika zanzibar zamani tokea enzi za ukoloni

    ReplyDelete
  3. Ankal,
    kuna Breaking News kwamba Bus la timu ya Taifa ya TOGO limeshambuliwa kwa risasi nchini Angola.wachezaji kadhaa wamejeruhi.hebu fuatilia utupe habari kamili PLIZ.

    ReplyDelete
  4. Asante Shehe. Hiyo Picha ni Timu ya saint Joseph-Mnara miwili huyo wa nne toka shoto ni babu mzaa baba, Marehemu Mzee mathias mtinange. Na huyo hapo ni padre na huyo ni na mwingine ni afisa wa kijerumain.

    ReplyDelete
  5. Wadau LEO MMEAMINI KUWA WAZANZIBARI NI WANYAMWEZI SI KAMA WANAVYOJIFANYA WARABU TAZAMA KAMA KUNA MWARABU HATA MMOJA, WOTE WABANTU (WANYAMWEZI) HAWA NI WANYAMWEZI WENZETU KUTOKA BARA.

    ReplyDelete
  6. TUPE LINEUP MICHUZI. AU WENYE DATA.

    ReplyDelete
  7. Kwa nini mara nyingi wafadhili wana complexion tofauti?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  8. sura za kitumwa

    ReplyDelete
  9. That was one hundred and four years ago. Some 33 years after William Wilberforce won the landmark ruling to abolish the slave trade (just recalling school history). It makes me wonder what the lads on the left and right may have been like in their minds then. By the way, any descendants of the players sitting - are they recognisable? Could the great Thuweiny Aliy (my hero as a school boy) have taken after one of these? Who knows...

    ReplyDelete
  10. jamani anko michuzi mbona hiyo picha inatia huzuni wamekaa kama wafungwa halafu hawana hata viatu wakati kocha na mfadhili wao wamevaa buti za maana hahahahaha anyway ni kumbukumbuku nzuri

    ReplyDelete
  11. Hiyo timu ilikuwa inatoa burudani kwa mabosi wao watawala wa kiarabu inaonekana wako kumi na moja na hakuna sub wakiumizwa au kuvunjika ni lazima wamalize dk 90 za mchezo. Na ukiumia utajiju na lazima ucheze mechi ijayo. Hiyo ilikuwa ni 1st eleven na last eleven those dayz.

    ReplyDelete
  12. ankal napenda kuwafahamisha watu kuhusu wazanzibari hii picha isikudanganyeni mkaona wazenji ni kama watu wa bara hawa watu mnaowaona kwenye hii picha ni watumwa,na kama mnavyofahamu watumwa wenye afya nzuri ndio wenye bei nzuri ndio maana wanawakeep fit kwa kuwachezesha mpira nakadhalika hiyo ndio hali ilivyokuwa kule visiwani.

    ReplyDelete
  13. WATU WA KWENYE VISIWA SEHEMU ZOTE DUNIANI NI WATU WA KUTOKA MBALI MBALI HATA UINGEREZA WENGI UKIWAFUATILIA ROOTS ZAO WAMETOKA CONTINENTAL NINA MAANA WENGINE WAMETOKA FRANCE, ITALY, GERMANY, POLAD WENGI WAMETOKA BARA LA ULAYA NI HALI KADHALIKA WAZANZIBAR WENGI WAO WAMETOKA NDANI YA BARA LA AFRICA IKWEMO KUANZIA TANGANYIKA, MALAWI, ZAMBIA, CONGO, BURUNDI, RWANDA, ANGOLA KENYA, UGANDA, WALE WANAONJIONA WEUPE KIDOGO NI MCHANGANYIKO WA HAWA WATUMWA NA WAARABU WALIOKUJA KUFANYA BIASHARA YA ZA WATUMWA NA NYINGINEZO, HAMNA HATA MTU MMOJA MWENYE ASILI YA ZENJ KWA ASILIMIA 100 MAJOROTY NI WATUMWA TOKA BARANI AFRICA

    ReplyDelete
  14. yaani hapo mzee karume ndio kwanza anamwaka mmoja

    ReplyDelete
  15. wapili kulia waliosimama mdogo wake bi kidude,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...