TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM INAWALETEA TAMASHA LA ELIMIKA NA BONGO FLEVA

WAPI: Nkrumah, Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam
LINI: Jumamosi Na Jumapili, Tarehe 16-17 Januari 2010
MUDA:Saa 2 Asubuhi Hadi 12 Jioni


Kutakuwa na burudani kutoka kwa wasanii, mabanda ya maonyesho ya kazi za wasanii, uwasilishaji wa makala utakaofanywa na wanataaluma, wasanii wenyewe na wadau mbalimbali, majidiliano mashindano ya wasanii wachanga, nk.
washiriki: watu wote wanakaribishwa: wasanii, wanataaluma, maprodyuza, wanamuziki, mapromota, madjs, vyombo vya habari, wanafunzi na jamii kwa ujumla, nk

LENGO:Kuutambua kitaaluma mchango wa wasanii wa bongo fleva na wadau wake katika maendeleo ya vijana, sanaa, kiswahili, utamaduni, nk

BURUDANI: Afande Sele, THT, Zay B,

Slaughter, G Solo, Kichupa na wengine kibao


MAONYESHO: Wasanii watapewa mabanda ya maonyesho bure kwa ajili ya kuonyesha na kuuza kazi zao za sanaa kama vile tshirts, grafiti, kofia, nk

MGENI RASMI: PROF. H.J.M. MWANSOKO, Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo
KAULI MBIU: BONGO FLEVA KWA MAENDELEO YETU
KIINGILIO: BURE!!! BURE!!! BURE!!! Mh! patakuwa hapatoshi, wote mnakaribishwa. Njoo uelimike na bongo fleva

Waratibu wa tamasha hili ni

Prof. F.E.M.K. Senkoro [0713 377 517]

na

Dkt. Shani Omari [0784/0713 241027].


Wasiliana nao kwa maonyesho haya ya kazi kama ni Msanii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wageni wa UDSM karibuni sana. Ila majibaba hapa ratiba ya UE (yaani mithani ya kufunga muhula) ndio ishatoka kwa hiyo msipotuona msimaindi sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...