Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hahahaha... jamaa alidhani ni Rihana anakuja!

    ReplyDelete
  2. ha ha ha ha ha!

    ReplyDelete
  3. Hii ni balaaaaaaaa maana unaweza kuta umetolewa meno bureeeeeee.

    ReplyDelete
  4. That is ridicolous!!! full creativity!!!! jamaa hachelewi kupiga denda kivuli

    ReplyDelete
  5. Kama imekutokea kweli usione tabu kutaliki.

    ReplyDelete
  6. Makubwa! umenikumbusha mambo ya kutongozana disco, huoni vizuri kwa ajili ya mwanga mdogo,na make-up za kina dada,kasheshe asubuhi,huamini ulichokiibua!

    ReplyDelete
  7. ADILI NA NDUGUZEJanuary 28, 2010

    Niseme nini. Nimecheekaa sana. Hahaha uuuwi. SAFI sana inaburudisha moyo

    ReplyDelete
  8. Makubwa jamaa, amesha data tayari na kivuri, ndio hao wanaodataga na picha tuu. akiona picha ya mwana dada tayari kesha data. akija muona. Anabisha mbona siyo kama yeye nilyemuon kwenye ile picha.

    ReplyDelete
  9. michuzi jamaa alikua anaenda msalani na kuyakuta hayo ambo yanatoka kusafisha,akajionea rizki mdudu imajeleta ninii?????????

    ReplyDelete
  10. this's superb...kweli wanaume walegevu, ndo hayo hayo yalimkuta jamaa yangu aliyeibua kimwana jollys...hahaaa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...