BAADHI ya picha zilizoonyeshwa mbele ya waaandishi wa habari leo na Kamanda wa Polisi Mkoani Rukwa Isuto Mantage , zikionyesha matukio mbalimbali ya Kijeshi yakifanywa na baadhi ya wanajeshi wanaosadikiwa wa Jeshi la nchi jirani ya Burundi hata hivo haikuweza kufahamika mara moja mahali mazoezi hayo yalipokuwa yakifanyika.
Picha hizi ni baadhi ya picha zilizopatikana kwa watuhumiwa wawili ambao ni ndugu wanaosadikiwa kuwa ni wanajeshi vijana wa Jeshi la Burundi Ramadhani Nibitanga (28) na mdogo wake Ndaizeye (19) wakaazi wa kijiji cha Kamenga, wilayani Butezi, Mkoani Luigi nchini Burundi ambao hawapo pichani.
Wamekamatwa mwambao wa ziwa Tanganyika wilayani Nkasi , mkoani Rukwa, wakiwa wanafanya ujasusi wa namna ya kuvishambulia vijiji vya wavuvi vilivyoko katika mwambao huo. Picha na habari na Peti Siyame.
Wamekamatwa wakishambulia vijiji vya wavuvi....wiki iliyopita tulipata habari nyingine ya kushambuliwa kwa wananchi wa ukerewe....NCHI YETU INA SERA GANI KATIKA KULINDA WANANCHI WAKE..!!!!??? ukifungua CNN utasikia " our first priority is to defend and protect american citizens" na hili huwa linafanywa kweli..likewise kwa nchi nyingine. Sasa nchi hii ya kwetu inalinda MAFISADI inaacha wananchi wakiuliwa hovyo na majangili...haya matukio machache ni yake yaliyopata fursa ya kuripotiwa tu! je hayo ambayo hayaripotiwi kama huko mipakani kwenye wakimbizi inakuwaje...Tafakari Haki Elimu..
ReplyDeleteKiswahili fasaha. Hao siyo majasusi ila ni majambazi. Kwa ni Tanzania iko vitani na Burundi hata itume majasusi. Hapana. Hao ni majambazi tu.
ReplyDeleteTANZANIIIIIA TANZANIIIIIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTEEEE NCHI YAAANGU TANZANIAAA JINA LAKO NI TAMU SANA WEEE.....
ReplyDeleteMMEWAINGIZA HAO WARUNDI NA RWANDA WANAOPENDA VITA WALIOPUNGUKIWA NA AKILI KWA VITA KUJA KUJIUNGA NA EAST AFRICA....
WALINDENI WANANCHI WENU KWA MOYO MMOJA NA MUHAKIKISHE HAO MAJIRANI HAWAPATI NAFASI YA KUWAJERUHI WANANCHI.......
KILA MKOA UNA KAMBI ZA KIJESHI ZISIZOPUNGUA 5 WANAFANYA NINI KULA NA KULALA AU....?????????
JESHI IMARA LA TANZANIA MKIONA WATU KAMA HAO MSICHELEWESHE PIGENI SHABA CHIMBA SHIMO FUKIA....
HATUTAKI MACHAFU CHAFU YA KIBURUNDI KWENYE NCHI YETU YA AMANI....ANKAL FIKISHA UJUMBE HUU
mdau uholanzi.
OYAA ANKAL HATA MIMI HUWA UNANIBADIA SANA LAKINI NAOMBA HII UITOE LAIV.
ReplyDeletekWANINI SERIKALI HAICHUKUI HATUA ZA KUFAA KUONDOA VURUGU NA UOZO WA HAO WARUNDI NCHINI KWETU?
KILA UNAKOPITA WAPO NA HAWANA LA MAANA ZAIDI YA KUAMBUKIZA CHUKI ZAO ZA KIRUNDI KWA WATU WALIOTULIA.
KAMA NCHI YAO IMESHAJIUNGA NA NCHI ZA MAZIWA MAKUU INA MAANA HAINA MATATIZO TENA. KWANINI WASIRUDI KWAO? WAKONGO WAKIKAMATWA WANAFUNGWA, MIRUNDI INAPETA TU NA MATENDO YAO YA KIKATILI. JAMANI SWALA HILI LITAKWISHA LINI? TUMECHOKA BWANA...HEBU NENDENI KWENU. HAKUNA VITA WALA NINI ONDOKENI JAMANI.