Ndugu wanachama na wanaopenda kujiunga na CCM mnaombwa kuhudhuria mkutano wa kuchagua viongozi nafasi zifuatazo katibu na wajumbe nafasi mbili utakaofanyika tarehe 16.01.10 saa kumi na mbili jionikatika adress hii:
34 Falcon Court,
Old Trafford,
Manchester,
M15 5qd.
Mnaombwa kuhudhuria kwa wingi sana katika mkutano huu ili tuweze kujenga na kudumisha chama chetu cha CCM hapa Manchester, kwa ufafanuzi zaidi wasiliana na namba hii 07534499405,
asanteni sana
Kidumu chama Tawala!
Uongozi CCM Manchester
Kidumu chama Tawala!
Uongozi CCM Manchester
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...