JK akiwa na mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali kwenye mnuso wa kila mwaka mpya (sherry party) aliyowaandalia leo ikulu jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ukipiga stori na mabalozi usisahau kuwaomba wawasaidie ndugu zetu wanaosumbuliwa na mafuriko ya Fernando Torres.

    ReplyDelete
  2. Taifa lilikuwa kwenye msiba wa Kawawa iweje Rais anawaalika wageni wake dinner? Au mimi mswahili mshamba kuendeleza mila na desturi ya mtanzania? Kama kuna kilio hakuna ma-dinner.

    ReplyDelete
  3. HII NDIO BONGO KILA MTU ANAKULA MEZANI KWAKE'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...