Pichani kulia ni muwakilishi wa kampuni inayojihusisha na uuzaji wa magari iitwayo Rama DBK Ltd ya jijini Dar akimkabidhi ufunguo mshindi wa gari la Fiesta jishindie motokaa,Bw.Raymond Lazaro Sanga (27) ambaye ni mkazi wa Tabata shule,huku Msimamizi wa bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania,Bwa.Mrisho Mlallo (shoto) pamoja na Mkurugenzi wa utafiti wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba wakishuhudia.Makabidhiano hayo yamefanyika leo mchana ndani ya jengo la Clouds Media Group,Mikocheni jijini Dar.
Raymond Lazaro Sanga akitesti mchuma wake leo

hii safi sana maana ahadi ni deni
ReplyDeleteHi kaka michuzi, mi naitwa Audrey. Naomba kuuliza hivi vigezo walivyokuwa wanatumia vilikuwa nini maana naona tofauti na vile vigezo walivyotangaza? Nadhani wangetoa na picha yake alivyokua kajifuta hiyo siku ya fiesta ili iwe fair game.
ReplyDelete