Bibi Samra Abdulrahaman Khatib na mai hazbandi wake Bwana Nassor Humud Nassor wakimeremeta katika mnuso wa nguvu uliofanyika jioni ya siku ya kwanza ya muongo wa pili wa karne ya 21, kwenye Hotel ya Intercontinental, Festival City Dubai. Bwana na Bibi Harusi wote ni Watanzania, wakazi wa Dubai.
maharusi wakilishana keki wakati wa mnuso huo
ngoma za utamaduni kutoka nyumbani zilikuwepo
wageni waalikwa, ndugu, jamaa na marafiki walikuwapo kibao




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Maharusi inaonekana harusi ilipendeza.

    ReplyDelete
  2. That looks nice. Congrats. Next - a break to the top of the world - Burj Khalifa...

    ReplyDelete
  3. well done maharusi mmependeza sana, MANGE mbona hatujakuona huku maanake hukosi mambo kama haya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...