Home
Unlabelled
sokoni kariakoo panawaka sasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Heko manispaa ya ilala angalau soko linaonekana ktk mazingira mazuri. Lakini isije kuwa ni nguvu ya soda baadaye hali irudie kuwa kama zamani.
ReplyDeleteILALA YES. Hapo mmefanya kazi nzuri. Hakikisheni inakuwa endelevu. Msiogope eti kwa vile mwaka huu wa uchaguzi kuwa mtanyimwa kura. Hofu ya bure. Hilo ndiyo soko haswa. Kazi nzuri sana
ReplyDeletemaskini kwetu huku sijui nitakwenda lini mimi eeh niko ugaibuni naazirika na kupata taabu
ReplyDeleteAnon wa tatu. Pole rudi tu, nyumbani ni nyumban. Utapata pakuanzia yaliyopita yamepita.
ReplyDeleteJIJI LIACHE UNDUMILAKUWILI, WAPO MAMACHINGA HAPO SOKONI MBAO WANAUZA BIDHAA NJE YA SOKO KWA KUTUMIA MAGARI WANAYOYAEGESHA HAPO SOKONI HAWA KWA NINI HAWAONDOLEWI? UKWELI HAWANA TOFAUTI NA WALE WANAOWEKA VIBANDA.
ReplyDeletehahahahaaa kwi kwi!!
ReplyDelete