Kipa wa African Lyon, Ivo Mapunda akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili na ya lala salama ya ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwene Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Tanzania. Yanga ilishinda 2-0

Mshambuliaji wa yanga Godfrey Bonny (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa African Lyon AbouUbwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Tanzania. Yanga ilishinda 2-0.


Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akiwatoka wachezaji wa African Lyon, Abou Ubwa kushoto na Abdul Masenga wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Tanzania, Leo. Yanga ilishinda 2-0.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Yanga Oyee!!Yanga Oyee!!!Yanga Oyeee!! Yanga Shumataa!!!!

    ReplyDelete
  2. Super charge turbo ilishafunguliwa tangu Tusker cup. Hakuna wa kukamata hii mashine sasa hivi................Simba kaa mkao wa bao tena, ni mshukuru tu raundi ya kwanza milijikusanyia point laa sivyo raundi ya pili mngekuwa mnachapa bakora tu klabuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...