Soko Kuu la Kariakoo likionekana katika hali ya usafi, jana baada ya Manispaa ya Ilala kuwaondoa wafanyabiashara waliokuwa wamejenga vibanda kandokando ya soko hilo.Picha hii imepigwa leo na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Heko manispaa ya ilala angalau soko linaonekana ktk mazingira mazuri. Lakini isije kuwa ni nguvu ya soda baadaye hali irudie kuwa kama zamani.

    ReplyDelete
  2. ADILI NA NDUGUZEJanuary 17, 2010

    ILALA YES. Hapo mmefanya kazi nzuri. Hakikisheni inakuwa endelevu. Msiogope eti kwa vile mwaka huu wa uchaguzi kuwa mtanyimwa kura. Hofu ya bure. Hilo ndiyo soko haswa. Kazi nzuri sana

    ReplyDelete
  3. maskini kwetu huku sijui nitakwenda lini mimi eeh niko ugaibuni naazirika na kupata taabu

    ReplyDelete
  4. Anon wa tatu. Pole rudi tu, nyumbani ni nyumban. Utapata pakuanzia yaliyopita yamepita.

    ReplyDelete
  5. JIJI LIACHE UNDUMILAKUWILI, WAPO MAMACHINGA HAPO SOKONI MBAO WANAUZA BIDHAA NJE YA SOKO KWA KUTUMIA MAGARI WANAYOYAEGESHA HAPO SOKONI HAWA KWA NINI HAWAONDOLEWI? UKWELI HAWANA TOFAUTI NA WALE WANAOWEKA VIBANDA.

    ReplyDelete
  6. hahahahaaa kwi kwi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...