Home
Unlabelled
waandishi waachwa solemba mahakamani wakifuatilia kesi ya mauaji ya swetu fundikira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Cha maana Kaka Saidi,Isike, Ismail, Mgalula, Chelu, Mshama,na Fundikila wote, ndugu jamaa na marafiki wa Swetu lazima maandamano yawepo, kupinga mauaji ya kinyama ya wanajeshi dhidi ya raia, ugonvi kidogo unamsababishia mtu anamkosa baba yake hivi hivi, looooooo jamani inauma sana.
ReplyDeleteHii Kesi wasiwe tu wameiweka kwenye Bin au Shimo la taka ndio basi. Wadau tushikamane hii isiishie hapa. Hamza. Inasikitisha Jeshi la Kulinda wananchi wao Linapiga wananchi wake. Mwenyezi ndio mwamuzi tunamuachia.
ReplyDeleteHUKU KWETU MAJUU KWA WAKRISTO MWANAJESHI AKIPELEKWA VITANI AKAUWA RAIA WASIO NA HATIA, KWANZA ANA FUKUZWA KAZI IN FIRST PLACE KISHA ANAFIKISHWA MAHAKAMANI AKIPATIKANA NA HATIA ANAFUNGWA,LAKINI SERIKALI ZETU ZA KIAFRIKA NI ZA KULINDANA KITATAFUTWA KIEGEZO CHA SHERIA NA TUTAWASIKIA WAKO HURU KIMTINDO.MI NIKO WADAU MTANIAMBIA,MUNGU AMREHEMU MDOGO WETU MTOTO WA MJINI,MUUNGWANA NA ALIKUWA MTU WA WATU R.I.P. YOUNG MAN SWETU.
ReplyDeleteSwala lina utata kidogo..lakini kutokana taarifa iliyotolewa na kiongozi wa polisi wa wilaya kinondoni alipoongea na TBC1 jana usiku kwenye kipindi cha usiku wa habari ni kwamba Polisi ilikuwa haijajitosheleza na maelezo ya watuhumiwa na ndi sababu kubwa ya kushindwa kuwaburuza kwa pilato hapo jana..Inshaalah leo watatinga mahakamani...na nina imani this time itatendeka c'se tumeshachoka.
ReplyDeleteSi mnasema sijui tuje tuwekeshe nchini kwetu. Mambo kama haya ya askari jeshi kuuwa na kulindwa na serikali ndio inatufanya tuamue tusirudi TZ. Endeleeni kupiga makofi na kufungua ofisi za CCM.
ReplyDeleteMpaka mwananchi apate haki yake na iheshimike nchi za Kiafrika itachukua miaka 200.