Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikari Afrobino, Babu Sikare(kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi wa Huduma za Hospitali kutoka Wizara ya Afya, Dr. Magreth Mhando (kulia) karatasi yenye maelekezo ya msaada wa mafuta ya kuzuia ngozi isiharibike na jua kwa ajili ya watoto wenye ulemavu wa ngozi Tanzania (Albino) yenye thamani ya dolla 1,500. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ustawi wa Jamii Bi. Magreth Njimba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huu ndio mfano wa kuigwa.hongera kaka.

    ReplyDelete
  2. Safi sana mkulu Babu. Haya ndio maneno!

    ReplyDelete
  3. KWA WALE AMBAO WATAONA KAMA MCHANGO WA ALBINOFULANI NI WA KITOTO...NAOMBA NIWAELEWESHE...HUU NI UJUMBE KWA SERIKALI KUHUSU VITU AMBAVYO WANATAKIWA KUFANYA....BADALA YA KUJINUNULIA MAPRADO...SIMPLE AND COMMONSENSE THINGS....WAY TO TO ALBINOFULANI...I LIKE YOUR MUSIC, I LIKE YOUR MOVIES..
    MDAU
    JAPAN

    ReplyDelete
  4. Babu safi sana

    ReplyDelete
  5. Go my bro.If you want to see change you should first be a change. Asante kwakuonyesha kwavitendo. Muda wa maneno mengi umekwisha.

    ReplyDelete
  6. Albino flani hongera sana mkuu tupo pamoja..ujumbe umefika..we umeanzisha safari wengine inabidi tufuate nyayo zako mkuu

    tutafika tu

    ReplyDelete
  7. Babu a.k.a Kubwa la Maadui

    Kazi nzuri..keep it up!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...