Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samwel Sitta (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt (kushoto) baada ya Balozi huyo kutembelea Bungeni jana mjini Dodoma na kujionea moja vikao vya Bunge leo.
Spika wa Tanzania Samwel Sitta(kulia) akiagana na Mgeni wake Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt (kushoto) aliyekuwa amemutembelea Ofisi ya Bunge jana mjini Dodoma na kujifunza shughuli mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa vikao vya Bunge la Tanzania leo.
Picha na mdau Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. anatoa nondo au longolongo tu? wapi ma man stith siku hizi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...